BABA HAJI APIGA DONGO UONGOZI BONGO MOVIE
![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4EKQhGdUmDsOFOdylXe4gO2D3yR2ioFTRDoGYa90tgmNdNtZfOYS4UleTt7-aXqBfc58JOYW3XQu*ggfotgYeN/haji.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Haji Adam ‘Baba Haji’ amewatupia dongo kiaina viongozi waliopita kwenye Klabu ya Bongo Movie Unity kwa kuusifia uongozi wa sasa wa klabu hiyo unaoongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Staa wa sinema za Kibongo, Haji Adam ‘Baba Haji’. Akipiga stori mbili tatu na mwandishi wetu, Baba Haji alisema kuwa uongozi wa Steve umeleta mabadiliko...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLoMO6taC5Q6neckx*JnkXcoDi69oDct9nwxpuBzBgQpaTkpOYitLmVipJDbbh-8jN1obstJeaSOZUgeD*xC7h6x/Q.gif)
BABA HAJI: KANUMBA AMEONDOKA NA SANAA YA BONGO
10 years ago
GPLMTITU: SITAKI TENA UONGOZI BONGO MOVIE
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Kipato, mavazi, changamoto kuu kwa uongozi mpya Bongo Movie
JANUARI 5, mwaka huu Klabu ya waigizaji ya Bongo Movie ilifanya uchaguzi wake wa kupata viongozi wapya watakaoiongoza kwa mwaka mzima wa 2014 kama katiba yao inavyotamka. Katika uchaguzi huo...
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra
MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...