BELA: SITAKI TENA NDOA
![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jKMzIjeSyiVoFU*kIN988QrMmglKKIocC4GiuVc56tqK0OA-2fbBFgkxE7rP2k1FIrMyMHDfcUclBpgjblA4RKS/bella.jpg)
Na Shani Ramadhani/Uwazi HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Feb
Jack: Sitaki Tena Ndoa!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena hii ni baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi.
Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake.
“Katika ndoa lazima kuwe na mabaya na mazuri, hata hivyo siwezi kusema ndoa ni chungu hapana, ila mimi kwa sasa hivi nimeona nipumzike kwanza sitaki tena ndoa labda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3vnV5j0IkopPifHY4pwyvZD93f1KnP35q8I72jAXPQ9OngxwlSwcTpkzoD20QiB0lUyBOVSjDpKLhpCEqQMmHvk/Jack.jpg)
JACK PENTEZEL: SITAKI TENA NDOA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-wED3MK7x6-gVFb3OQAz6yQxfveW1CnEU5mqdU6D5c3wxSouP5dbVjCuz5sUprNPTa4aWyLgAZGHNkeosKMGCqG/isabela.jpg)
BELA, KALAMA NDOA YANUKIA
10 years ago
Bongo505 Sep
New Video: Kijukuu Ft Mapua — Sitaki Tena
11 years ago
Mwananchi25 Apr
JK: Sitaki tena kusikia dawa za kulevya zinapita
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl9CzErJQ6thPtsNAzxYh55h9Sgt1FI*ESV6FzdOt4cKN2FE3F5jYHvSDOMVSBf*qL-7JE2f69qB8JsNM4xA47hf/OKWI.jpg?width=600)
Okwi afunguka: Sitaki kurudi Tunisia tena
10 years ago
GPLMTITU: SITAKI TENA UONGOZI BONGO MOVIE
9 years ago
Bongo524 Dec
Shamsa Ford: Sitaki tena kutoka kimapenzi na mastaa
![Shamsa Ford](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Shamsa-Ford-300x194.jpg)
Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.
Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake.
“Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila idara, nina mchumba ambaye tunapendana Mungu akijalia kiukweli natamani awe mume wangu,” amesema.
“Nimeshatangaza kabisa mastaa sitaki nimekoma,...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Wastara ndoa tena!
Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma.
Na Waandishi Wetu
BAHATI ILIYOJE! Baada ya hivi karibuni mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kutimiza miaka mitatu kaburini, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba anatarajia kuolewa tena kwani ameshapata chaguo sahihi.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko nyumbani kwao Tabata Barakuda jijini Dar, Wastara alisema wakati wa msiba wa mumewe aliweka nadhiri kwamba ataolewa baada ya miaka mitatu hivyo kwa sasa yuko tayari kuingia kwenye ndoa...