JACK PENTEZEL: SITAKI TENA NDOA!
![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3vnV5j0IkopPifHY4pwyvZD93f1KnP35q8I72jAXPQ9OngxwlSwcTpkzoD20QiB0lUyBOVSjDpKLhpCEqQMmHvk/Jack.jpg)
Stori: Shani ramadhani BAADA ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi, mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena. Mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’. Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake. “Katika ndoa lazima kuwe na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Feb
Jack: Sitaki Tena Ndoa!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena hii ni baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi.
Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake.
“Katika ndoa lazima kuwe na mabaya na mazuri, hata hivyo siwezi kusema ndoa ni chungu hapana, ila mimi kwa sasa hivi nimeona nipumzike kwanza sitaki tena ndoa labda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jKMzIjeSyiVoFU*kIN988QrMmglKKIocC4GiuVc56tqK0OA-2fbBFgkxE7rP2k1FIrMyMHDfcUclBpgjblA4RKS/bella.jpg)
BELA: SITAKI TENA NDOA
10 years ago
Mwananchi22 Feb
JACK PENTEZEL: Awajia juu wafitini wa penzi lake
10 years ago
Bongo505 Sep
New Video: Kijukuu Ft Mapua — Sitaki Tena
11 years ago
Mwananchi25 Apr
JK: Sitaki tena kusikia dawa za kulevya zinapita
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl9CzErJQ6thPtsNAzxYh55h9Sgt1FI*ESV6FzdOt4cKN2FE3F5jYHvSDOMVSBf*qL-7JE2f69qB8JsNM4xA47hf/OKWI.jpg?width=600)
Okwi afunguka: Sitaki kurudi Tunisia tena
10 years ago
GPLMTITU: SITAKI TENA UONGOZI BONGO MOVIE
9 years ago
Bongo524 Dec
Shamsa Ford: Sitaki tena kutoka kimapenzi na mastaa
![Shamsa Ford](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Shamsa-Ford-300x194.jpg)
Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.
Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake.
“Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila idara, nina mchumba ambaye tunapendana Mungu akijalia kiukweli natamani awe mume wangu,” amesema.
“Nimeshatangaza kabisa mastaa sitaki nimekoma,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYCm*CTT6sEv3y9SWhGpguUtpopv17zXUvYHNohjI-AezmUqBY9JxKbrLKtuvyhR9agtPBYnBViIKswWqn5TEj-8/jackp.jpg?width=650)
JACK PATRICK MAZITO TENA