Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi afunguka: Sitaki kurudi Tunisia tena

Emmanuel Okwi. KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi amesema hataki kuzisikia wala kuzungumzia habari za Simba na Etoile du Sahel kwa kuwa hana mpango wa kurejea alikotoka. Okwi ametoa tamko hilo ikiwa ni siku chache mara baada ya kupewa ‘kifungo’ cha muda, huku uongozi wa Yanga ukisisitiza kuwa utamtumia mchezaji huyo katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Komorozine ya Comoro inayotarajiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Mke amzuia Okwi kurudi Simba

Mshambuliaji wa Simba,Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
KUMEKUWA na taarifa zinazotofautiana kuhusiana na kuchelewa kwa mshambuliaji Emmanuel Okwi aliye kwao Uganda, lakini ukweli sasa ni kwamba suala la ndoa, ndilo lililomchelewesha. Uchunguzi wa Championi Ijumaa kuhusiana na suala hilo umeanzia jijini Kampala, Uganda na ikabainika Okwi yuko katika mipango ya kutaka kufunga ndoa.Baada ya taarifa hizo, imekuwa vigumu kupata...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Okwi: Sina mpango wa kurudi Bongo

WAKATI uongozi wa Yanga ukidai hauna muda kuendelea kulijadili suala la mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, mshambuliaji huyo naye amesema hana mpango wa kurudi kucheza soka Tanzania. Akizungumza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jack: Sitaki Tena Ndoa!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena hii ni baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi.

Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake.

“Katika ndoa lazima kuwe na mabaya na mazuri, hata hivyo siwezi kusema ndoa ni chungu hapana, ila mimi kwa sasa hivi nimeona nipumzike kwanza sitaki tena ndoa labda...

 

10 years ago

GPL

BELA: SITAKI TENA NDOA

Na Shani Ramadhani/Uwazi
HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na...

 

10 years ago

GPL

JACK PENTEZEL: SITAKI TENA NDOA!

Stori: Shani ramadhani
BAADA ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi, mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena. Mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’. Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake. “Katika ndoa lazima kuwe na...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Kijukuu Ft Mapua — Sitaki Tena

Video mpya kutoka kwa msanii mpya anaitwa Kijukuu akimshirikisha Mapua ngoma inaitwa “Sitaki Tena”

 

10 years ago

GPL

MTITU: SITAKI TENA UONGOZI BONGO MOVIE

Aliyewahi kuwa Katibu wa Klabu ya Bongo Movie, William Mtitu. Stori: LAURENT SAMATTA ALIYEWAHI kuwa Katibu wa Klabu ya Bongo Movie, William Mtitu amesema inawezekana watu wakawa bado wanahitaji kumuona akiwa kiongozi wa kundi hilo lakini yeye hahitaji tena kuongoza kutokana na kubanwa na kazi zake. Mtitu ndiye aliyekuwa kiongozi wa kwanza kujiuzulu nafasi hiyo baada ya mwenyekiti wake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’...

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Sitaki tena kusikia dawa za kulevya zinapita

Rais Jakaya Kikwete ameagiza kuimarishwa kwa udhibiti katika viwanja vya Ndege vya Kimataifa Julius Nyerere (JNIA) na Kilimanjaro (Kia), kutumiwa kupitisha dawa za kulevya kwenda nje na kuingia nchini.

 

9 years ago

Bongo5

Shamsa Ford: Sitaki tena kutoka kimapenzi na mastaa

Shamsa Ford

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.

Shamsa Ford

Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake.

“Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila idara, nina mchumba ambaye tunapendana Mungu akijalia kiukweli natamani awe mume wangu,” amesema.
“Nimeshatangaza kabisa mastaa sitaki nimekoma,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani