Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTO MBEZI WAGEUKA TISHIO KWA WAKAZI WA GOBA

Wakazi wa pembezoni mwa Mto Mbezi wakivuka mto kuelekea upande wa pili. Wakazi wakiendelea kuvuka mto. Mto Mbezi unaotembea kuanzia Mbezi Kimara kupitia Makongo juu B mpaka Goba kuelekea Kawe hadi baharini, umekuwa tishio kwa wakazi wa maeneo ya karibu na mto huo kwani hautabiriki na hata kipindi cha jua…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia

tamwa

 Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.

Na Mwandishi wetu

CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).

Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.

Alisema tukio hilo...

 

11 years ago

Michuzi

Yaleyaleeee......uchimbaji mchanga mto mbezi jijini Dar es salaam waendelea kama kawa

 Pamoja na kupigwa marufuku mara kadhaa wachimabji hawa bado wameendelea kuchimba mchanga katika Mto Mbezi huku wakijaza magari makubwa yasiyo na idadi na tena wakifanya kazi hii mchana kweupeeee pyeeee  bila hata kuwa na woga.  Wachimbaji hawa wamekuwa wakifanya hivi kila inaponyesha mvua kubwa inayokusanya mchanga mwingi kutoka eneo jingine kusogeza eneo hili, na wao wamekuwa wakiuhamisha mchanga huo kwa kuuchimba na kuupakia katika magari na kisha kwenda kuuza. Zoezi hili linachangia...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI MCHANGA MTO MBEZI NA KAWE

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na wakazi wa Mbezi na Kawe Ukwamani ambao nyumba zao zilibomoka kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchimbaji wa mchanga katika mto huo hali iliyosababisha kingo za mto huo kupanuka hadi kwenye makazi ya watu. Makonda aliwatembelea wakazi hao Dar es Salaam jana. DC Makonda akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakati alipo watembelea waathiriwa hao. Wananchi wakiwa katika maeneo hayo...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI MCHANGA MTO MBEZI NA KAWE‏

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na wakazi wa Mbezi na Kawe Ukwamani ambao nyumba zao zilibomoka kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchimbaji wa mchanga katika mto huo hali iliyosababisha kingo za mto huo kupanuka hadi kwenye makazi ya watu. Makonda aliwatembelea wakazi hao Dar es Salaam jana.  DC Makonda akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TAMWAyapongeza wakazi Mbezi Msuguri

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AHUTUBIA WAKAZI WA MTO WA MBU, ARUSHA

Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akihutubia wananchi wa Mto wa Mbu katika mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa eneo la Migombani, Mto wa Mbu jijini Arusha jana.

 

10 years ago

GPL

MAZINGIRA YA MTO SIMIYU YANAVYONUFAISHA WAKAZI WAKE

Sehemu mbalimbali za daraja linalokatisha Mto Simiyu. Baadhi ya wakazi kando ya mto huo wakichota maji.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Tusker Fanyakweli Kiwanjani yawakuna wakazi wa Mbezi Beach na Kimara wiki hii

CAMPIX PRODUCTION

Mteja wa bia ya Tusker Bi. Elizabeth Ulomi (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Akijiandaa kutoa zawadi hiyo (kulia) ni Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua

Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.

Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.

 Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani