Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto aliyefaulu la saba nusura atolewe kafara

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni mganga mmoja wa jadi anayedaiwa kuteka watoto kwa njia za kishirikina kwa ajili ya kutolewa kafara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTOTO WA MBARAKA MWISHEHE NUSURA AUE!

Na Makongoro Oging’
MASIKU Mbaraka Mwishehe ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kinondoni, Dar es Salaam kwa madai ya kuwashambulia kwa kisu watu wawili wa familia moja. Tukio hili lilitokea hivi karibuni Mwananyamala Kisiwani, Dar ambapo kwa mujibu wa taarifa ya kipolisi, mtuhumiwa huyo alikutwa ndani ya nyumba ya Nelson Ainea Shoo, saa kumi na moja alfajiri. Akizungumza na Amani, mke wa Nelson aliyejitambulisha kwa...

 

11 years ago

GPL

MBWA WALIOMLA MTOTO NUSURA WAMLE BABA MTU

Mtoto Christian Alex aliyeliwa na mbwa enzi za uhai wake. Stori: Deogratius Mongela
ZIMEKATIKA wiki mbili tangu kuzikwa kwa mtoto Christian Alex (6)  aliyeuawa kwa kushambuliwa na mbwa watatu waliodaiwa ni wa Ubalozi wa Qatar nchini, mbwa hao wamemkosakosa baba mtu.
Tukio la kuuawa kwa mtoto huyo lilijiri Kunduchi  Jangwani Beach jijini Dar Machi  26, mwaka huu. Kwa mujibu wa chanzo, mara baada ya kumaliza shughuli...

 

10 years ago

GPL

NIA YA UDIWANI KATA YA SEGEREA NUSURA UMTOE ROHO MTOTO WA MASSABURI

Katibu wa Uchumi na Fedha Kata ya Segerea,  Steve Massaburi akiwa Hospitali ya Aga-khan leo akiendelea kuuguza majeraha baada ya kujeruhiwa kwa mapanga nyumbani kwake Segerea jijini Dar es Salaam jana na watu wasiojulikana. Steve Massaburi akiendelea kuuguza majeraha, kushoto anayemuhudumia ni jamaa yake Martin Pemba.   Na Dotto Mwaibale   WATU wasiojulikana wamejeruhi kwa mapanga Katibu wa Uchumi na Fedha Kata ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nia ya Udiwani kata ya Segerea nusura imtoe roho mtoto wa Massaburi

Katibu wa Uchumi na Fedha Kata ya Segerea,  Steve Massaburi akiwa Hospitali ya Aga-khan leo akiendelea na matibabu.

Katibu wa Uchumi na Fedha Kata ya Segerea,  Steve Massaburi akiwa Hospitali ya Aga-khan leo akiendelea kuuguza majeraha baada ya kujeruhiwa kwa mapanga nyumbani kwake Segerea jijini Dar es Salaam jana na watu wasiojulikana. Kushoto anayemuhudumia ni jamaa yake Martin Pemba.

Na Dotto Mwaibale

WATU wasiojulikana wamejeruhi kwa mapanga Katibu wa Uchumi na Fedha Kata ya...

 

10 years ago

CloudsFM

MHESHIMIWA TEMBA, SAID FELA KUMSOMESHA MTOTO WA MAREHEMU Y.P KWA MIAKA SABA

Msanii kutoka kundi la TMK Wanaume,Mh.Temba na na mlezi wa kundi hilo Said fela wamejitolea kumsomesha kwa miaka saba mtoto wa aliyekuwa msanii wa Bongo Flava kutoka kundi hilo aliyefariki usiku wa kuamkia juzi na kuzikwa jana katika makaburi ya chang’ombe, marehemu Yesaya Ambilikile’Y.P’.

Marehemu ameacha mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Ambilikile, Fella amesema kuwa atahakikisha mtoto huyo anapata elimu kwani ndiyo msingi mkuu wa maisha ya mwanadamu.

Mh. Temba pia amefunguka kuwa milango...

 

10 years ago

GPL

AJALI MUSOMA YADAIWA NI KAFARA!

Stori: Musa Mateja aliyekuwa Mara
Inauma sana! Ajali mbaya iliyosababisha vifo vya watu 39 iliyohusisha Basi la Kampuni ya J4 Express lenye nambari za usajili T 677 CYC, lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Sirari mkoani Mara baada ya kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni ya Mwanza Coach lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la Saba Saba mjini Musoma mkoani Mara, Ijumaa iliyopita, imedaiwa kuna ushirikina au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Waziri Masele ni mbuzi wa kafara’

SERIKALI imedaiwa kumtoa kafara Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stepen Masele, kwa lengo la kuficha udhaifu wake katika sakata la tuhuma alizozitoa dhidi ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini JK amemtoa kafara Jaji Warioba?

WAHENGA wanasema rafiki yako ndiye adui yako. Wengine wakasema akumulikaye mchana usiku atakuchoma. Hivi ndivyo alivyofanyiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba. Jaji Warioba amekejeliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanasheria Mkuu ZNZ ametolewa kafara?

Bila shaka suala linalotawala gumzo na mijadala mingi visiwani Zanzibar hivi sasa ni hatua ya juzi ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kumfukuza kazi Mwanasheria Mkuu wa SMZ, Othman Masoud Othman.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani