Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Waziri Masele ni mbuzi wa kafara’

SERIKALI imedaiwa kumtoa kafara Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stepen Masele, kwa lengo la kuficha udhaifu wake katika sakata la tuhuma alizozitoa dhidi ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wenje: Waziri kutolewa kafara ufisadi escrow

>Pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kueleza kuwa hajakabidhiwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu uchotaji wa Dola 200 milioni katika akaunti ya escrow, Bunge limeelezwa kuwa kuna waziri mmoja ambaye anaandaliwa kisaikolojia kwa ajili ya kutolewa kafara.

 

11 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele afungua rasmi semina ya wachimbaji wadogo Kibara mkoani Mara

Picha Na. 1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji  wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara.   Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama  pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa  sheria na  kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara  Mhe. Kangi Lugora.  Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe.

Picha Na. 2

Naibu Waziri  wa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (Kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake

 

10 years ago

GPL

AJALI MUSOMA YADAIWA NI KAFARA!

Stori: Musa Mateja aliyekuwa Mara
Inauma sana! Ajali mbaya iliyosababisha vifo vya watu 39 iliyohusisha Basi la Kampuni ya J4 Express lenye nambari za usajili T 677 CYC, lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Sirari mkoani Mara baada ya kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni ya Mwanza Coach lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la Saba Saba mjini Musoma mkoani Mara, Ijumaa iliyopita, imedaiwa kuna ushirikina au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini JK amemtoa kafara Jaji Warioba?

WAHENGA wanasema rafiki yako ndiye adui yako. Wengine wakasema akumulikaye mchana usiku atakuchoma. Hivi ndivyo alivyofanyiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba. Jaji Warioba amekejeliwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Asamoah Gyan akana madai ya kafara

Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana, Asamoah Gyan, amekanusha madai kuwa alimtoa kafara yake ambaye pia alikuwa mwanamuziki mashuhuri nchini Ghana Castro.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanasheria Mkuu ZNZ ametolewa kafara?

Bila shaka suala linalotawala gumzo na mijadala mingi visiwani Zanzibar hivi sasa ni hatua ya juzi ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kumfukuza kazi Mwanasheria Mkuu wa SMZ, Othman Masoud Othman.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyefaulu la saba nusura atolewe kafara

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni mganga mmoja wa jadi anayedaiwa kuteka watoto kwa njia za kishirikina kwa ajili ya kutolewa kafara.

 

10 years ago

GPL

MAMA AMTOA MWANAYE KAFARA AWE TAJIRI!

Stori: mwandishi wetu, songea MY God! Hali huenda ikigeuka, wakati jamii inaamini akina baba ndiyo wenye tabia ya kutokuwa na uchungu kwa watoto, imekuwa tofauti kwa mama huyu!Ni mkazi mmoja wa Kijiji cha Mwanamonga, Kata ya Lilambo, Manispaa ya Songea, Kasiana Komba (60) anadaiwa kuuawa na mumewe, Allan Menas Lwambano (76) kisa kikidaiwa mambo ya kumtoa kafara mtoto. Bwana Allan Menas Lwambano anayedaiwa kumuua mkewe. Tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani