AJALI MUSOMA YADAIWA NI KAFARA!
![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5miP-7z4XJ-yFVZmna7U0Gteb9wdJ7Xa5DLro3wUuQa391vsLXvJ4a2EzoBbIt-1pzgdJG4J6npRsqPRYQYY734U/ajali.jpg)
Stori: Musa Mateja aliyekuwa Mara Inauma sana! Ajali mbaya iliyosababisha vifo vya watu 39 iliyohusisha Basi la Kampuni ya J4 Express lenye nambari za usajili T 677 CYC, lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Sirari mkoani Mara baada ya kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni ya Mwanza Coach lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la Saba Saba mjini Musoma mkoani Mara, Ijumaa iliyopita, imedaiwa kuna ushirikina au...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s72-c/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-CSvqWNnkoJg/VHCK9-cxGaI/AAAAAAAAEvU/-e1VFarx8rw/s1600/MUSOMA%2BEXPRESS.jpg)
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.
Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
wakizungumza na...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ajali yaua 35 Musoma
WATU zaidi ya 37 wameripotiwa kufariki dunia papo hapo na wengine zadi ya 70 kujeruhiwa vibaya, baada ya mabasi mawili kugongana yakihusisha pia gari dogo moja katika ajali iliyotokea eneo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08csMAtQ7T*pA58r-UGJ1jGOl2yLVk-QVVR7WQ9zIaI5hKiAEY5Y1DXDDfnPDXaIA4wDLusAYPTQNDZDO7E2aAeMV/breakingnews.gif)
AJALI YAUA 35 MUSOMA
Ajali hiyo imetokea baada ya basi la Kampuni ya J4 Express lenye namba za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari mkoani Mara kuligonga ubavuni gari dogo aina ya Nissan Terano lenye namba za usajili T 332 AKK na kulitupa mtoni kisha kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-vHJy8mHNzag/VAmxVZ17zhI/AAAAAAAGe3I/oSCfZkNfuCI/s640/1.jpg)
TASWIRA YA AJALI MUSOMA SIKU YA JANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWxDMjShiHxXc5mEnqMkgsi2012sMnUelFlhKZUOfEP1uVppnfRUMtQBu06cZGlmyzLF2ezh7aGy04-kf-8qtl0r/2musoma2.jpg?width=650)
MWILI WA MAREHEMU WA AJALI YA MUSOMA WALETA KIZAAZAA
10 years ago
Eatv05 Sep
WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KWA AJALI MUSOMA
Takribani watu zaidi ya 36 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Sabasaba Musoma, mkoani Mara
Ajali hiyo imelihusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J.4 Express T677 CYC.
Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa iliyopo Musoma mjini.
R.I.P All na poleni sana wote mliofikwa na msiba huo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cuF3qInhReyuht5Eors1Od90bxtd8kEuiotnZnzw3eWvrb4LY5oaAUD9SI*5ehVVuVVxKYhOyK7Ph03vrWqAM1P/IMG20140905WA0000.jpg?width=650)
WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MUSOMA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VnfUDN3fm5A/VBGbgleVMJI/AAAAAAAAt_w/EVA-HV6KiCQ/s72-c/IMG-20140911-WA0037.jpg)
NEWZ ALERT:AJALI NYINGINE SINGIDA,YADAIWA MTU MMOJA AMEPOTEZA UHAI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-VnfUDN3fm5A/VBGbgleVMJI/AAAAAAAAt_w/EVA-HV6KiCQ/s1600/IMG-20140911-WA0037.jpg)
10 years ago
Mwananchi16 Sep
AJALI YA MUSOMA: ‘Nilishuhudia watu wakitupwa huku na kule’