Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA MUSOMA: ‘Nilishuhudia watu wakitupwa huku na kule’

“Kama ambaye nilikuwa nikitazama filamu ya kutisha, nilishuhudi watu wakirushwa huku na huko, vilio na kelele za kukata tamaa zikisikika kila kona, sikujua kitu gani kilikuwa kinatokea mpaka baada ya muda fulani kupita,” anasimulia Asha Juma (19), mkazi wa Nyakato, Musoma aliyekuwa abiria kwenye basi la Mwanza Coach lililogongana na J4 Express hivi karibuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Eatv

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KWA AJALI MUSOMA

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KWA AJALI MUSOMA!

Takribani watu zaidi ya 36 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Sabasaba Musoma, mkoani Mara

Ajali hiyo imelihusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J.4 Express T677 CYC.

Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa iliyopo Musoma mjini.

R.I.P All na poleni sana wote mliofikwa na msiba huo

 

10 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MUSOMA

Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara. ...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazanzibari huku, Watanganyika kule

MWANZONI mwa mwezi uliopita niliulizwa swali nikiwa Kamachumu. Lilihusu mchakato wa katiba mpya na mkwamo wa sasa wa Bunge Maalumu la Katiba. Muuliza swali alitaka kujua hatima ya mnyukano huu...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM huku, Chadema kule

Zikiwa zimesalia siku 28 kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Desemba 14, mwaka huu, vyama vikubwa vya siasa vimeendelea kuchanja mbuga kutafuta uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali mikoani.

 

10 years ago

Vijimambo

IPTL:Huku Bunge kule Mahakama

  Majaji wataka mjadala usitishwe
  Bunge lasisitiza mjadala palepaleRipoti itakayowasilishwa bungeni hii hapa.Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiilinda ripoti hiyo usiku kucha.Wajumbe wa kamati wakiipitia ripoti hiyo kabla ya kuwasilishwa leo bungeni.
Wakati mahakama ikitangaza kuzuia kashfa ya kampuni ya IPTL ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kujadiliwa na Bunge, Spika wa Bunge, Anne Makinda,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Huku Sumaye na Lowassa, kule Mengi na Rostam, tusubiri

AMA kweli Wahenga walisema; ndugu wakigombana chukua jembe ukalime,siku wakipatana chukua kapu uk

Mayage S. Mayage

 

10 years ago

Bongo5

Show ya Fiesta Musoma yaahirishwa kufuatia ajali ya mabasi 2 iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 45

Show ya Serengeti Fiesta iliyokuwa imepangwa kufanyika Ijumaa hii imeahirishwa kufuatia ajali mbaya ya mabasi mawili yaliyogongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 45 na wengine kujeruhiwa. Ajali hiyo imehusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J4 Express T677 CYC. Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA MUSOMA EXPRESS LAPATA AJALI LIKITOKEA DAR KWENDA MUSOMA

 Basi la Musoma Express lenye namba za usajili T138 BDQ lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Musoma limepata ajali majira ya saa 4 usiku  katika kijiji cha usanda shinyanga vijijini .
Basi hilo limepata ajali katika eneo la Usanda hatua chache baada ya kutoka katika mzani wa Tinde barabara ya Tinde Shinyanga.

Inaelezwa kuwa wakati dereva akiendesha basi hilo ghafla mwanamume  mmoja anayedaiwa kuwa ni mzee (mtembea kwa miguu) alikatisha barabarani na kusababisha ajali hiyo.
 wakizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani