Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL:Huku Bunge kule Mahakama

  Majaji wataka mjadala usitishwe
  Bunge lasisitiza mjadala palepaleRipoti itakayowasilishwa bungeni hii hapa.Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiilinda ripoti hiyo usiku kucha.Wajumbe wa kamati wakiipitia ripoti hiyo kabla ya kuwasilishwa leo bungeni.
Wakati mahakama ikitangaza kuzuia kashfa ya kampuni ya IPTL ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kujadiliwa na Bunge, Spika wa Bunge, Anne Makinda,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CCM huku, Chadema kule

Zikiwa zimesalia siku 28 kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Desemba 14, mwaka huu, vyama vikubwa vya siasa vimeendelea kuchanja mbuga kutafuta uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali mikoani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazanzibari huku, Watanganyika kule

MWANZONI mwa mwezi uliopita niliulizwa swali nikiwa Kamachumu. Lilihusu mchakato wa katiba mpya na mkwamo wa sasa wa Bunge Maalumu la Katiba. Muuliza swali alitaka kujua hatima ya mnyukano huu...

 

9 years ago

Raia Mwema

Huku Sumaye na Lowassa, kule Mengi na Rostam, tusubiri

AMA kweli Wahenga walisema; ndugu wakigombana chukua jembe ukalime,siku wakipatana chukua kapu uk

Mayage S. Mayage

 

10 years ago

Mwananchi

AJALI YA MUSOMA: ‘Nilishuhudia watu wakitupwa huku na kule’

“Kama ambaye nilikuwa nikitazama filamu ya kutisha, nilishuhudi watu wakirushwa huku na huko, vilio na kelele za kukata tamaa zikisikika kila kona, sikujua kitu gani kilikuwa kinatokea mpaka baada ya muda fulani kupita,” anasimulia Asha Juma (19), mkazi wa Nyakato, Musoma aliyekuwa abiria kwenye basi la Mwanza Coach lililogongana na J4 Express hivi karibuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yazuia ‘vijipesa vya ugoro’ IPTL

>Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imezuia malipo ya Dola za Marekani 75 milioni (Sh.121 bilioni) kutoka katika akaunti ya Escrow kwa ajili ya kununua asilimia 30 ya hisa za VIP Engineering and Marketing katika Kampuni ya kufua umeme ya IPTL.

 

11 years ago

Mwananchi

Msajili Mahakama Kuu ashtushwa na kesi IPTL

>Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Amiri Musumi ameshtushwa na taarifa kuwa hukumu ya kesi ya Tanesco dhidi ya Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ilimalizika saa 8:30 usiku.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahakama yaiamuru SCBHK, TANESCO kutokuwabugudhi wamiliki wa IPTL

Makandege 2

Katibu na Mwanasheria mkuu wa kampuni ya ufuaji umeme ya IPTL, Bw. Joseph Makandege akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) nakala ya hukumu iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania ikizuia benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Tanesco kuendelea kuwabugudhi wamiliki wa IPTL na kuingilia uendeshaji wa mitambo yake. Kushoto ni Meneja Rasilimali watu wa IPTL Bw. Aidan Kaude. 

-Yasema Bw. Sethi kuendelea kusimamia mitambo ya ufuaji umeme ya Tegeta

Na Mwandishi Wetu

Mahakama Kuu...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama Kuu yasitisha kesi ya IPTL kuuza hisa

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imesimamisha usikilizwaji wa shauri la kupinga kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuuza hisa zake kwa kampuni ya Piper Link Investment Limited, ambayo kwa sasa ni Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP).

 

11 years ago

Mwananchi

IPTL yaomba Mahakama Kuu Dar imfunge mdomo Kafulila

Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba itoe amri ya kumfunga mdomo Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David Kafulila.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani