Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto aliyetoroka Moshi, aibukia Dar es Salaam

Mtoto Hassan Masasi, aliyetoroka nyumbani kwao Moshi, Kibosho-Umbwe, mkoani Kilimanjaro.
Mtoto Hassan Masasi (pichani), aliyetoroka nyumbani kwao Moshi, Kibosho-Umbwe, mkoani Kilimanjaro, ameonekana jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jana katika ofisi za gazeti hili zilizoko Mikocheni jijini Dar es Salaam, mtoto huyo mwenye umri wa miaka saba, alisema ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kindi Juu, iliyopo Moshi, Kibosho- Umbwe.

Alimtaja mama yake mzazi kuwa ni Pendo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ratiba ya mazishi ya marehemu mzee john fedha macha dar es salaam na moshi

Mazishi ya Mzee John Fedha Macha (pichani), Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa Bamboo Bar ya Kinondoni (jirani na makaburi ya Kinondoni)  jijini Dar es salaam, ambaye alifariki dunia Jumatatu Julai 21,  2014 katika hospitali ya TMJ Mikocheni alikokuwa akitibiwa, yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa Julai 25, 2014 kijijini kwake Kirua Vunjo, Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa ratiba iliyopatikana na Globu ya Jamii, Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zitafanyika nyumbani kwake...

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA KAPTEN JOHN KOMBA AIBUKIA NCCR-MAGEUZI

Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) James Mbatiaakisalimia wananchi wakati akipita katika kijiji cha Kahe ,jimbo laVunjo ambako amefanya mikutano katika vijiji mbalimbali ya kuwanadiwagombea wa nafasi ya Uenyekiti.Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika kijiji cha Ngaseni B katikajimbo la Vunjo,Amfrosia Komba (41),mtoto wa Mbunge wa jimbo la MbingaMagharibi kapt,John Komba(CCM) akijinadi kwa wapiga kura katika kijijihicho.Amfrosia maarufu kama Zawadi anagombea nafasi hiyo...

 

10 years ago

GPL

KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA

Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi. Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo. Na waandishin wetu Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa…

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika jijini Dar es salaam

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) majukumu wanayotekeleza katika kuhakikisha wanakabiliana na tatizo la Mgongo wazi na Vichwa vikubwa ikiwamo kutoa elimu bora kwa madaktari wanaosomea somo hilo, kwenda mikoani kutoa tiba kwa watoto wenye matatizo hayo,wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani jana Jijini Dar es salaam....

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na WiLDAF yafana jijini Dar es salaam

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na Women in Law and Development in Africa - WiLDAF yafana jijini Dar es salaam.
Octoba 11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Maadhimisho haya yalifanyika katika Hoteli ya Double Tree, Dar es Salaam.Washiriki wa maadhimisho hayo wakiwa katika picha ya pamoja.Mmoja wa washiriki waliofika kwenye hafla hiyo ya maadhimisho ya siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika leo jijini Dar es salaam.

 Mlezi wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama Dorcas Membe akiteta jambo na moja ya mtoto mwenye tatizo la kichwa kikubwa anayepata huduma Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI).

 Mlezi wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama Dorcas Membe, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma(Kulia), Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani