Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25 kituo cha afya Kibaoni apewa jina la Magufuli
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25,-10-2015 na kupewa jina la Magufuli katika kituo cha Afya cha Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWEKA AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO VIJIJINI




11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO VIJIJINI
11 years ago
Habarileo21 Aug
Mtoto apewa jina la mke wa Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete ameanza ziara ya Mkoa wa Morogoro kwa kuzindua Mfumo wa Huduma za Afya za Masafa katika Kituo cha Afya cha Mwaya Wilaya ya Ulanga, ambako mtoto mchanga wa kike aliyezaliwa saa chache baada ya uzinduzi huo, alipewa jina la Salma, mke wa Rais Kikwete.
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19
Kituo cha Mazoezi cha Home Gym…
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.
Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...
5 years ago
Michuzi
DC CHONJO AWAPONGEZA WAUGUZI KITUO CHA AFYA SABASABA KWA KUTOKUWA NA VIFO VYA MAMA NA MTOTO


**********************
NA FARIDA SAIDY,MOROGORO
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo , amezindua
rasmi Wodi ya Wazazi ijulikanyo kwa jina la “Wodi ya Wazazi Regina
Chonjo” katika Kituo cha Afya cha Sabasaba Manispaa ya Morogoro.
Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo,
Mhe Chonjo, amewataka Wauguzi kutumia taaluma zao kwa uwaledi ili
Wazazi wajifungue salama.
Aidha, amekipongeza kituo hicho cha afya kwani tangia ianze huduma
ya uzalishaji haijawai kutokea...
11 years ago
GPLMOTO WAZUKA CHUO CHA UDOM USIKU WA KUAMKIA LEO
11 years ago
Michuzi
KINANA ASHTUSHWA NA MAKUSUDI YA WIZARA YA AFYA KUHUSIANA NA KITUO CHA AFYA CHA INYONGA,WILAYA YA MLELE-KATAVI


11 years ago
Michuzi
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Wizara ya Mambo ya Nje yathibitisha kifo cha balozi wa Libya aliyejipiga risasi usiku wa kuamkia leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Membe.
Na Mwandishi wetu.
Balozi wa Libya nchini Mh. Ismail Nwairat amefariki dunia jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo baada ya kujipiga risasi ya kifuani upande wa kushoto akiwa ofisini kwake.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ilisema kuwa, ilipokea taarifa kutoka kwenye Ubalozi huo kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat amefariki dunia kwa kujipiga risasi.
Hata...