Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO VIJIJINI‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na Wabunge Mhe Abdul Mketeme (kushoto) na Mhe Getrude Rwakatale (kulia) wakifunua pazia kwa pamoja kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO VIJIJINI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na Wabunge Mhe Abdul Mketeme (kushoto) na Mhe Getrude Rwakatale (kulia) wakifunua pazia kwa pamoja kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea akikagua wodi mpya ya  kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014. Rais...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25 kituo cha afya Kibaoni apewa jina la Magufuli

IMGS8662

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25,-10-2015  na kupewa jina la Magufuli katika kituo cha Afya cha Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Kituo Cha Taifa Cha Kumbukumbu Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Taifa Kumbukumbu huko kisasa mjini Dodoma leo.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, watatu kushoto ni Mwenyekiti wa BungeMh. Zungu na kulia ni Waziri wan chi Ofisi ya Rais Utawala BoraMh.George Mkuchika. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kufungua rasmi Kituo cha Taifa Cha Kumbukumbu kilichopo Kisasa mjini Dodoma leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

 

11 years ago

Michuzi

JK afungua kituo cha afya na kukagua kilimo cha Kahawa Mbinga, afungua soko la kimataifa mkenda

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kituo cha afya katika Gereza la Kitai wilayani Mbinga jana.Kushoto ni Mkuu wa Gereza hilo Alexander Richard Nyefwe.Kituo hicho kitatoa huduma kwa askari magereza,wafungwa na vijiji jirani Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miche bora ya kahawa mkulima mdogo Bi Dorothea Komba wakati alipolitembelea na kukagua shamba la kahawa AVIV Farm linalomilikiwa na kampuni ya Olam katika kijiji cha Lipokela wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA MICHEZO KIDONGO CHEKUNDU

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe  katika ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akicheza mpira na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo ya michezo katika kituo hicho kinachofunza mpira wa miguu,kikapu na volleyball ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua kituo cha Michezo Kidogo Chekundu jijini Dar es Salaam

02-D92A9351

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.

03-D92A9413

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.

06-D92A9461

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo  cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro baada ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika Chuo Kikuuu cha Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25,… ...

 

11 years ago

GPL

DKT SHEIN AFUNGUA KITUO CHA AFYA BUMBWINI KIONGWE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia  kukifungua Kituo cha… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA LINDI MJINI NA KUZURU MATAWI YA CCM

  Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa CCM wa Tawi la Ufukoni katika Kata ya Rahaleo huko Lindi Mjini tarehe 9.2.2015.  Mama Salma Kikwete yupo wilayani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku 5  Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Lindi Mjini Dkt. Zulfa Msami wakati Mama alipotembelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani