Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA KIKE AMPA FARAJA BOBBY BROWN

Mwanamuziki Bobby Brown. Massachusetts, Marekani
MWANAMUZIKI Bobby Brown amepata faraja baada ya mkewe Alicia Etheredge kumletea mtoto wa kike ambaye amejifungua hivi karibuni. Bobby Brown akiwa na mkewe.
Wanandoa hao walioana mwaka 2012 ambapo walijaaliwa kupata watoto wa kiume ukiacha Bobbi Kristina ambaye ni wa Bobby Brown na sasa wamempata wa kike ambaye amewapoza machungu kutokana na Bobbi kuwa mgonjwa kwa muda… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Ampa Wema Neno la Faraja na Matumani

Baada ya hapo jana Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu kueleza kuwa anatamani sana kupata mtoto lakini hana uwezo huo,Staa mwenzake ambae ni mama wa mtoto mmoja, Riyama Ally ampa neno hili la faraja na matumani.

“Naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa na umri mkubwa sana utuuzimani wema bado mdogo muda utafika inshallah mola atakupa mume mwenye kheri na wewe uzae jike na dume usiumie mama mungu hukupa akujaalialo na sio umuombalo watoto ni kudra za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bobby Brown asema mwanawe yu hai

Imeripotiwa kuwa mashine inayomsaidia kupumua mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina imezimwa,

 

10 years ago

Mtanzania

Bobby Brown achoshwa na hali ya Kristina

bobby-brown-bobbi-kristinaNA BADI MCHOMOLO
BAADA ya Kristina Brown kukaa hospitali kwa muda wa siku 73 tangu aanguke bafuni Januari 31 mwaka huu, baba yake, Bobby Brown, ameonekana kukata tamaa ya kupona kwa binti yake huyo.
Kristina bado anaishi kwa kutegemea nguvu ya mashine, lakini hata hivyo hali yake haileti matumaini tangu alipopelekwa hospitalini.
“Mpaka sasa hatujui nini kitatokea kwa mtoto wetu, tumemkabidhi Mungu kila kitu kwa kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho katika kila jambo.”
Mbali na Bobby Brown...

 

9 years ago

Mtanzania

Kabla ya arobaini, Bobby Brown afanya shoo

150214-news-bobby-brownNA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Bobby Brown, juzi alipanda jukwaani na kufanya onyesho la kwanza tangu kifo cha mtoto wake, Kristina kilichotokea Julai mwaka huu.

Kristina alizikwa Agosti 3 mwaka huu, hivyo siku 23 tu zimepita amefanya onyesho huku akiwashukuru waliohudhuria onyesho hilo.

“Nawashukuru sana kwa uwepo wenu siku ya leo, pia nawashukuru wale wote mliomuombea mwanangu wakati alipokuwa akiugua,” alieleza Brown.

Hata hivyo, wakati baba huyo akitumbuiza,...

 

10 years ago

GPL

BOBBY BROWN AOMBA MSAMAHA KWA KUSAHAU MASHAIRI

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown. GEORGIA, Marekani
MWANAMUZIKI wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown hivi karibuni aliwaomba msamaha mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha lake huko Atlanta, Georgia baada ya kusahau mashairi ya wimbo aliokuwa anaimba hali iliyosababisha yeye na madensa wake kupishana jukwaani. Bobby hakuonekana kabisa mwenye furaha katika tamasha hilo ambalo ni la pili kufanya tangu Januari… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Bobby Brown Says Bobbi Kristina ‘Is Awake’

720x405-153963570

Bobbi

“I can say today, Bobbi is awake. She’s watching me,” he told a shocked crowd at the Verizon Theater in Dallas, Texas, on Saturday. A video of his statement was posted to Instagram.

The video was captioned, “Theirs [sic] been terrible rumors circulating for months … @kingbobbybrown would like to share a message with you all … From our family to yours … Thank you for all the well wishes and prayers for his daughter #BK …. But let it be known that #GOD holds the glory …. continue to...

 

10 years ago

TheCitizen

Whitney Houston & Bobby Brown's Daughter Passes After Nearly 7-Month Coma

Bobbi Kristina Brown has passed away at a hospice center in Atlanta.

 

10 years ago

GPL

BOBBY BROWN: SIWEZI KUONDOA MASHINE YA KUPUMUA, MUNGU ATAMWOKOA MWANANGU BOBBI

Bobby Brown akipozi na binti yake Bobbi Kristina. Marehemu Whitney Houston akiwa katika pozi na mwanaye Bobbi Kristina mwaka 2007.…

 

10 years ago

Vijimambo

MADAKATARI WAMWAMBIA BOBBY BROWN AACHE BOBBI KRISTINA APUMZIKE KWA AMANI

Bobby Brown akiwa nje ya hospitali ya chuo kikuu cha Emory siku ya Alhamisi Feb 5, 2015 kwenye siku yake ya kuzaliwa akipokua ametoka kwa ajili ya kuvuta sigara.Bobby Brown akiongozana na familia ya Houston alipokua akiwasili hospitali mapema leo Alhamisi kumjulia hali mwanae Bobbi Kristina ambaye yupo kwenye koma. Familia ya Houston imekuwanae sambamba tangia siku ya kwanza ya maswahibu ya mtoto Bobbi Kristina.bobby-brown-sad-birthday-at-the-hospitalBobby Brown akiongozana na Gary Houston ambaye ni mpwa wake Whitney...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani