mtoto wa Raila Odinga afariki Dunia leo

Mtoto wa aliekuwa Waziri Mkuu wa Kenya,Raila Odinga aitwae Fidel Odinga (pichani) amekutwa akiwa amefariki nyumbani kwake huko Karen,jijini Nairobi mapema leo asubuhi.
Taarifa za awali zilieleza kuwa, Fidel alitoka nyumbani kwake jana usiku kwa lengo la kujumuika na marafiki zake kwa matembezi na burudani za mwisho wa wiki na alirejea nyumbani kwake alfajiri ya leo na haijulikani ni nini kilichosababisha kifo chake.
Maafisa wa Jeshi la Polisi nchini Kenya,wameanzisha uchunguzi kuhusiana na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania05 Jan
Mtoto wa Raila Odinga afariki dunia
NAIROBI KENYA
MTOTO mkubwa wa kiume wa kiongozi wa upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga amefariki dunia jana asubuhi katika mazingira yasiyoeleweka.
Mtoto huyo, Fidel Odinga, alikutwa kitandani nyumbani kwake huko Windy Ridge, Karen baada ya kuutumia usiku wa jana na marafiki zake.
Mwili wa mfanyabiashara huyo, ambaye pia ni mwanasiasa kijana ulitarajiwa kupelekwa katika nyumba ya mazishi ya Lee Funeral Home.
Odinga, ambaye yuko eneo la tukio, alithibitisha kifo cha mwanae na kwamba...
10 years ago
GPL
MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL AFARIKI DUNIA NCHINI KENYA
10 years ago
GPL
RAIS UHURU KENYATTA AHANI MSIBA WA MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL ODINGA
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Raila Odinga afanyiwa upasuaji baada ya kuugua mgongo, Kaka wa Raila Odinga athibitisha
10 years ago
BBCSwahili04 Jan
Mwana wa Raila Odinga afariki
10 years ago
Michuzi
DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA,NCHINI KENYA

.jpg)
10 years ago
GPL
DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA, NCHINI KENYA
10 years ago
Michuzi.jpg)
VIONGOZI MBALIMBALI WA AFRIKA WAJITOKEZA KUMZIKA MTOTO WA RAILA ODINGA NCHINI KENYA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Vijimambo
Raila Odinga atandikwa bakora


Mzee Mdzombo anasemekana kutokuwa timamu kiakiliKiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amemsamehe mzee aliyempiga bakora katika mkutano wa hadhara wa kisiasa katika jimbo la Kwale Pwani ya Kenya,Mwanamume huyo, Lengo Mdzombo, anayefanya kibarua katika shamba moja Kwale, alikamatwa Jumanne na kufikishwa mahakamani.
Alishitakiwa kwa kosa la kumshambulia kiongozi huyo pamoja na gavana wa Kwale.Hali ya taharuki ilitanda katika mkutano wa hadhara Jumatatu wiki hii baada ya Mdzombo kwenda...