MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL AFARIKI DUNIA NCHINI KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaHU0Kd-FoT5PAF*0c2U774GaRxKWKQM8msnrx66Layfn8LA241HnYxB7zJAZiEmSAau*9tnOM-KUKTdA2Gv765A/breakingnews.gif)
Fidel Odinga enzi za uhai wake. MTOTO wa kwanza wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Fidel Odinga amefariki dunia leo alfajiri akiwa Hospitali ya Nairobi nchini Kenya. Chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika. Raila Odinga amethibitisha kifo hicho. Fidel alikimbizwa hospitali na mkewe baada ya kuwasili nyumbani majira ya saa 7 usiku wa kuamkia leo na kulalamika kuwa anapata shida katika upumuaji. Fidel na baba yake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kBk*s0lw*Nnae4UdU7YfyV7xFANIZ69p9L2n8WiReLzW4-RZM*EG8Vl8DStQgqzFTKewX9FxSq467HMlk0qx*DmvqWnBXY-t/uhuru1.jpg?width=650)
RAIS UHURU KENYATTA AHANI MSIBA WA MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL ODINGA
10 years ago
Mtanzania05 Jan
Mtoto wa Raila Odinga afariki dunia
NAIROBI KENYA
MTOTO mkubwa wa kiume wa kiongozi wa upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga amefariki dunia jana asubuhi katika mazingira yasiyoeleweka.
Mtoto huyo, Fidel Odinga, alikutwa kitandani nyumbani kwake huko Windy Ridge, Karen baada ya kuutumia usiku wa jana na marafiki zake.
Mwili wa mfanyabiashara huyo, ambaye pia ni mwanasiasa kijana ulitarajiwa kupelekwa katika nyumba ya mazishi ya Lee Funeral Home.
Odinga, ambaye yuko eneo la tukio, alithibitisha kifo cha mwanae na kwamba...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Wm92B82SWdg/VKkYQTYtGEI/AAAAAAAG7Ik/c7gsRPTqzdQ/s72-c/B6fz4cdCIAAx9lG.jpg)
mtoto wa Raila Odinga afariki Dunia leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-Wm92B82SWdg/VKkYQTYtGEI/AAAAAAAG7Ik/c7gsRPTqzdQ/s1600/B6fz4cdCIAAx9lG.jpg)
Taarifa za awali zilieleza kuwa, Fidel alitoka nyumbani kwake jana usiku kwa lengo la kujumuika na marafiki zake kwa matembezi na burudani za mwisho wa wiki na alirejea nyumbani kwake alfajiri ya leo na haijulikani ni nini kilichosababisha kifo chake.
Maafisa wa Jeshi la Polisi nchini Kenya,wameanzisha uchunguzi kuhusiana na...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-OLjtkmOHKRM/VKmdiC8E2DI/AAAAAAAANyI/EuMX2aH0vpk/s72-c/FIDEL-ODINGA.jpg)
KENYA: RAILA ODINGA'S SON,FIDEL FOUND DEAD AT HOME
![](http://2.bp.blogspot.com/-OLjtkmOHKRM/VKmdiC8E2DI/AAAAAAAANyI/EuMX2aH0vpk/s1600/FIDEL-ODINGA.jpg)
Police are still investigating the cause of death.The family is expected to make a statement on the circumstances surrounding the death shortly.Meanwhile condolence messages have began going out to the family with many describing him as a man who was worth knowing.Fidel Odinga had drinks with...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eUOqPYFmwQ0/VLDglePuzsI/AAAAAAAG8Z4/_WPA64PjthE/s72-c/unnamedM.jpg)
DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA,NCHINI KENYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eUOqPYFmwQ0/VLDglePuzsI/AAAAAAAG8Z4/_WPA64PjthE/s1600/unnamedM.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8eePFO0BTY8/VLDglIbi_lI/AAAAAAAG8Z8/SYTXq7T0ax4/s1600/unnamed%2B(28).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0uMX6j0VBUkHj7oh96H4JcN*QDdK6mvVLd0SXjSh9666yLrje60-ERk2GxpzNP3GFsK-51rtfiTB3mPUAPWI-f12owzwna08/unnamedM.jpg)
DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA, NCHINI KENYA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-t8odeSRq6vc/VLLd22zKJeI/AAAAAAAG8x0/g2nCevSP7Ec/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
VIONGOZI MBALIMBALI WA AFRIKA WAJITOKEZA KUMZIKA MTOTO WA RAILA ODINGA NCHINI KENYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-t8odeSRq6vc/VLLd22zKJeI/AAAAAAAG8x0/g2nCevSP7Ec/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-SXxdg3J_XEM/VLLd3DsWHoI/AAAAAAAG8x4/-ulYo8EoC6U/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-PieiB-5Iqz8/VLLd3PuLblI/AAAAAAAG8x8/w7W-5OgLO7U/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Raila Odinga afanyiwa upasuaji baada ya kuugua mgongo, Kaka wa Raila Odinga athibitisha
10 years ago
BBCSwahili04 Jan
Mwana wa Raila Odinga afariki