Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA SHEIKH KIAGO BAADA YA KUMWAGIWA TINDIKALI

Mtoto wa SHEIKH, KIAGO akiugulia maumivu ya majeraha usoni baada ya kumwagiwa Tindikali akiwa na Baba yake wakielekea msikitini.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sheikh amwagiwa tindikali

IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir (33) amejeruhiwa vibaya usoni na sehemu ya bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

10 years ago

Mwananchi

Sheikh amwagiwa tindikali Songea

Watu wasiofahamika wamemwagia tindikali, mkazi wa Kijiji cha Kitanda Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Sheikh Nasib Ally (80) na kumpofua jicho lake la kushoto.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh amwagiwa tindikali Arusha

Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni jijini Arusha, Mustaph Mohamed Kihago (49) na mtoto wake, Halidi Mustapha (10), wamelazwa Hospitali ya Mkoa Mount Meru kwa matibabu, baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali na kuwajeruhi shingoni na usoni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheikh mwingine amwagiwa tindikali Arusha

MWALIMU wa dini Msikiti Mkuu wa Bondeni, Mustapha Kihago (49) na mwanae Khalid Mustafa (10), wamemwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali  sehemu za usoni na shingoni. Sheikh huyo ambaye ni wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto wa miaka 8 achapwa na kumwagiwa maji moto

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka minane amechapwa viboko na kumwagiwa maji ya moto na mama yake kwa kambo kwa kuchelewa kuwapa wadogo zake chakula cha mchana.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa Sheikh Yahya atabiri mazito

>Mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein ametabibiri kuwa Katiba Mpya itapatikana kwa mbinde, kwani kutakuwa na malumbano na utata hasa kuhusu ajenda ya Serikali tatu.

 

10 years ago

CloudsFM

SHEIKH WA WILAYA YA MBEYA AFA GHAFLA MAKABURINI BAADA YA KUTOA MAWAIDHA MAZISHINI

Sheikh mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini, Bakari Mketo amefariki dunia ghafla makaburini mara baada ya kuswalisha swala ya mazishi katika makaburi ya Nonde jijini na mkoani Mbeya jioni ya jana.
Sheikh huyo maarufu kwa jina la Mketo mkazi wa Nonde anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 50-60 amekutwa na mauti katika eneo la makaburi hayo ya Nonde mara tu baada ya kumaliza kutoa mawaidha kwa watu waliojumuika kumzika mama aliyefariki katika hospitali ya rufaa Mbeya juzi na msiba wake kuwekwa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu

 

Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa  Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha  wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.

Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...

 

5 years ago

Michuzi

SHEIKH KIPOOZEO AIKUMBUSHA JAMII KUWA NA HOFU YA MUNGU, AGUSIA UMUHIMU WA MAZIWA YA MAMA KULINDA AFYA YA MTOTO


Na Khadija Seif, Michuzi tv

SHEIKH Hillal Shaweji maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo amewaomba wazazi na walezi kuwa na hofu ya Mungu kwa lengo la kuimarisha na kuendesha familia zao katika misingi ya kiucha Mungu.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Sheikh Kipozeo amesema wazazi na walezi wakiwa na misingi ya dini na hofu ya Mungu familia huwa na amani kubwa n kuishi maisha yenye furaha na kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Sheikh Kipoozeo amefafanu wakati nwingine watoto wanakumbwa na mikasa mingi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani