Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa dawa za kulevya atoa kete 82

Kitengo cha Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini, kimesema mtuhumiwa Mashusha Matata hadi sasa ameshatoa kete 82 za dawa ya kulevya aina cocaine zenye thamani Sh83.6 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aanguka kortini

MSHTAKIWA Hamis Malindo (30), anayekabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya, ameanguka katika chumba cha Mahakama baada ya kusomewa mashitaka yanayomkabili.

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

9 years ago

Michuzi

Mwanasheria Mkuu wa Serikali alia na mtuhumiwa wa madawa ya kulevya

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya, aliyejulikana kwa jina la Muharami Abdallah, maarufu kwa jina la Chonji na mkewe, Mwalibora Nyanguri kuhamisha umiliki, kupangisha au kuombea mikopo.
Maombi hayo dhidi ya Muharami na mkewe yaliwasilishwa kwa hati ya dharura mahakamani hapo Septemba 13, mwaka huu mbele ya Jaji Wilfred...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Slaa atoa ushahidi, azungumza na mtuhumiwa baada ya kesi

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa (kushoto) akizungumza na Abeid Adam Abeid nje ya Mahakama ya Wilaya ya Hai jana. Picha na Dionis Nyato
Hai. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Hai kuwa Abeid Adam Abeid (22) aliyejifanya ni Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, alijitambulisha kwake ni Ofisa wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Ulanga Abeid Kibasa.

Dk Slaa ambaye ni shahidi wa nane wa upande wa mashitaka, alitoa ushahidi huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa atoa ushahidi, azungumza na mtuhumiwa baada ya kesi

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Hai kuwa Abeid Adam Abeid (22) aliyejifanya ni Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, alijitambulisha kwake ni Ofisa wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Ulanga Abeid Kibasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Biashara ya dawa za kulevya

alum Zakwa ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya. Hii ni biashara inayompatia fedha nyingi sana ambazo zimemfanya awe tajiri mkubwa katika jiji la Dar  es Salaam. Biashara hii ameifanya kwa siri kubwa na ni watu wachache wanaojua siri hii mbali na vijana wake wawili Vasco na Liston. Endelea kusoma …

 

10 years ago

Habarileo

Utumiaji dawa za kulevya waongezeka

MATUMIZI ya dawa za kulevya nchini yameongezeka kwenye mikoa 12 nchini yakionesha dawa aina ya heroini na bangi zikiongoza kwa kutumiwa zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani