Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUHAS waomba kuajiri watumishi kampasi kuu

CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili (MUHAS) kimeiomba serikali kutoa kibali kianze kuajiri watumishi wa Kampasi Kuu ya Mloganzila nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam katika mwaka huu wa fedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kampasi mpya MUHAS kukamilika Juni 2016

UJENZI wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) unaoendelea katika eneo la Mloganzila sambamba na ujenzi wa hospitali ya kutoa huduma na kufundishia kwa vitendo unaotarajiwa kukamilika Juni mwaka 2016.

 

10 years ago

Dewji Blog

TBS kuajiri watumishi 200

22

Afisa Uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akitoa wito kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuendelea kuelemisha umma kuhusu madhara ya matumizi ya nguo za mdani za mtumba. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti Ubora wa Shirika hilo Bi. Mary Meela.

Frank Mvungi-Maelezo

Shirika la viwango Tanzania (TBS) linatarajia kuajiri watumishi 200 katika harakati za kuimarisha utendaji wa shirika hilo.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa udhibiti ubora wa shirika hilo...

 

9 years ago

Mwananchi

Kigwangalla atoa miezi 3 kuajiri watumishi

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Kituo cha Afya cha Kambarage mjini Shinyanga kuhakikisha unapata watumishi wa kutosha ndani ya kipindi cha miezi mitatu.

 

10 years ago

Michuzi

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania awasilisha mada kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akiwasilisha mada kuhusu  "Exchange Rate Developments in Tanzania and Implications for the Economy"  kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa Semina fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam tarehe 18 Machi, 2015.  Katika mada yake Prof. Ndulu  alielezea pamoja na mambo mengine umuhimu wa Tanzania kuuza zaidi bidhaa zake nje ili kudhibiti mfumuko wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali

4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Leo ni mahafali ya kampasi ya Mzumbe Dar es Salaam

WAHITIMU 1,225 wanatarajia kupata shahada za uzamili katika programu mbalimbali wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh Hawa Ghasia na Mwenyekiti wa Bodi ya Watumishi Housing Company (WHC) Bw. Adam Mayingu wakishuhudia Dr Cyiprian Mpemba (CEO- KEC) na Dr Fred Matola Msemwa (CEO- WHC) wakitia saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya WHC na Kibaha Education Centre(KEC)   ambapo KEC itatoa ardhi kwa ujenzi wa nyumba 1150 za watumishi wa umma katika eneo la Mailimoja mjini Kibaha.Waliosimama kusho ni Mwanasheria wa WHC Bw Joel Maeda....

 

9 years ago

Vijimambo

WATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA


Mkurugenzi wa Benki ya CCRD, Dk.Charles Kimei (kulia) na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk. Fred Msemwa wakisaini mkataba wa mikopo ya nyumba kwa watumishi wa Umma Dar es Salaam leo asubuhi.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani