MUHIMBLI YATOA MAFUNZO YA KUZUIA KIPINDUPINDU KWA WATUMISHI WAKE, 989 WAAMBUKIZWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-6C_ASJutLqk/VfFRKLFV5ZI/AAAAAAAH3xk/9N6evSq1naI/s72-c/index.jpg)
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili –MNH- imetoa mafunzo kwa watumishi wake kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu ambao umesambaa na kusababisha watu 989 kuambukizwa ugonjwa huo jijini Dar es salaam.
Mafunzo hayo ya siku saba ambayo yanahusisha Wakurugenzi, Wakuu wa Idara , Madaktari, Wauguzi , Wafamasia pamoja na Wahudumu yana lengo la kuwaelimisha juu ya ugonjwa huo , jinsi ya kuzuia , kumtibu mgonjwa na kumtambua mtu mwenye dalili za Kipindupindu.
Akielezea mafunzo hayo Mkuu wa Idara ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-6C_ASJutLqk/VfFRKLFV5ZI/AAAAAAAH3xk/9N6evSq1naI/s72-c/index.jpg)
MUHIMBLI YATOA MAFUNZO YA KUZUIA KIPINDUPINDU KWA WATUMISHI WAKE, 989 WAAMBUKIZWA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6C_ASJutLqk/VfFRKLFV5ZI/AAAAAAAH3xk/9N6evSq1naI/s1600/index.jpg)
Mafunzo hayo ya siku saba ambayo yanahusisha Wakurugenzi, Wakuu wa Idara , Madaktari, Wauguzi , Wafamasia pamoja na Wahudumu yana lengo la kuwaelimisha juu ya ugonjwa huo , jinsi ya kuzuia , kumtibu mgonjwa na kumtambua mtu mwenye dalili za Kipindupindu.
Akielezea mafunzo hayo Mkuu wa Idara ya...
10 years ago
Michuzi16 Feb
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yatoa mafunzo kwa wataalamu wake
Mafunzo hayo yalifunguliwa jana, na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, Bw, Aziz Kilonge, ambaye aliwaasa wataalam hao kuhakikisha kwamba wanasimamia wanafunzi kwa ukamilifu ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti zinazofanywa.
Aidha, alifafanua kuwa uzingatiaji wa maadili katika kufanya...
9 years ago
StarTV31 Dec
Watu 192 wafariki, 12,222 waambukizwa Ugonjwa Wa Kipindupindu nchini
Watanzania 196 wamefariki dunia nchini mwaka huu kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Kipindupindu.
Idadi hiyo inatokana na wananchi 12,222 waliougua ugonjwa huo katika mikoa 20 ya Tanzania.
Takwimu hizo zimetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utoaji wa Huduma za Kinga katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Vincent Assey, wakati wa mafunzo maalum ya kipindupindu kwa Waandishi wa habari mkoani Mbeya.
Mkoa wa Mbeya umefanikiwa kumaliza tatizo hilo licha...
9 years ago
MichuziJAJI MAKURU AFUNGUA MAFUNZO MAALUM YA HUDUMA KWA WATEJA KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA.
9 years ago
MichuziSEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PGbNc9mo89w/U93_dkUPnpI/AAAAAAAF8j0/2yoLN3XYAG0/s72-c/1.jpg)
MAFUNZO YA AWALI KWA WATUMISHI WA HUDUMA ZA MKOBA WA UZAZI YAMALIZIKA JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-PGbNc9mo89w/U93_dkUPnpI/AAAAAAAF8j0/2yoLN3XYAG0/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SUMYjH27gUw/U93_dnG_UdI/AAAAAAAF8jw/ZnV-GdwI3NM/s1600/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Kampuni ya Serengeti yatoa mafunzo kwa wahudumu wa Bar kwa mikoa ya Tanzania Bara
Meneja wa chapa wa vinywaji vikali wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija (wa nne kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
..Diaegeo Master Bar Academy (MBA) kwa udhamini wa Smirnoff
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Kampuni ya Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Limited) kupitia kampuni mama ya Diaegeo imeweza kufanya mafunzo ya namna ya kutoa huduma bora ya kuhudumia wateja kupitia vinywaji mbalimbali ikiwemo vinywaji vikali (Spirit) kwa Wahudumu wa Bar ...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
DEP yatoa mafunzo kwa Polisi
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (UNDP) kupitia Mradi wa Uwezeshaji Demokrasia (DEP) wenye thamani ya dola milioni 22 za Marekani, umezindua programu ya mafunzo ya kina...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Baclays yatoa mafunzo kwa wanafunzi
BENKI ya Barclays tawi la Iringa imetoa mafunzo ya utunzaji fedha kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Highlands ya mjini hapa kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kuhifadhi fedha sehemu...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10