Music: Becka Tittle Ft.Bui Bui — Unataka Nini
Wimbo mpya wa Becka Tittle unaitwa “Unataka Nini” amemshirikisha Bui Bui Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Oct
Video: Becka Title Feat Bui Bui — Unataka Nini
Video mpya ya msanii Becka Title wimbo unaitwa “Unataka Nini” amemshirikisha Bui Bui. Video imeongozwa na kampuni ya Allstars Media. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
GPL07 Oct
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXy1rx9XmsYlJIlZWjNqBjxmKr0wXLQxgu4qIX3MrOveZOLsjWd1T4PbNlMJgsyKnfDroHZ8PF1Qtxm1zbr8fg6u/AISHA.jpg?width=650)
AISHA BUI AJIFUNGUA
Stori: HAMIDA HASSAN STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa katika jambo hilo. Staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma. “Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha sana kuitwa...
10 years ago
GPLAISHA BUI KUBURUZWA KORTINI
Msanii wa filamu Bongo, Aisha Bui wakati akiwa katika ofisi za kusambaza filamu za Yuneda zilizopo Mbagala. KESI ya msanii wa filamu Bongo, Aisha Bui ya kufanya fujo ofisini kwa msambazaji wa filamu akidai kutolipwa fedha zake za filamu bado ni ya moto ambapo msambazaji anazungumza na mwanasheria wake kisha kumburuza mwigizaji huyo mahakamani. Chanzo makini kimedai kuwa, baada ya Aisha kulala polisi na kutoka kwa dhamana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDIROTjCzOXSHnH*d*0825RSE8eWQ0tSn13ByZzam27XuxWuB0pcF5wOiWKlA3tJf7Prwu3qAe8dg5PQTBsFH7VX/timbwili.jpg)
AISHA BUI AZUA TIMBWILI
Stori: Waandishi Wetu
Pamechimbika! Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amezua timbwili la kufa mtu katika ofisi za kusambaza filamu za Yuneda zilizopo Mbagala jijini Dar baada ya wasambazi hao kushindwa kumlipa kwa wakati. Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akiwaka kwa mmoja wa wahusika wa ofisi za kusambaza filamu za Yuneda, Mbagala. Mtiti huo ulioshuhudiwa na wanahabari wetu ulijiri wikiendi iliyopita, maeneo hayo ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nd24W9ECLPPE9ljOONJR9hga9W3GCqcw0fBMRJmABXec1p-AVEhz1FA8F1fsbjmzR1PIN0VjK3-hdb9X9YOV4rnE89M3BGYt/aisha.jpg)
AISHA BUI ATAMBIA KAZI YAKE
Stori: Mwandishi Wetu
WAKATI filamu yake ya Mshale wa Kifo ikiingia mtaani, Aisha Fathi ‘Aisha Bui’ amesema kazi yake hiyo itadhihirisha uwezo alionao kwani hata wazo la kuandika simulizi hiyo ni lake mwenyewe. Msanii wa Muvi Bongo, ‘Aisha Bui’ akipozi. “Najua kila mtu ana uwezo wake, lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi, ndiyo maana mimi nimeamua kutumia kampuni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5migVjJPElTMBHygkqqzcargWn9yuFXVRFnMf4Qb8BFaG8t46lP6IEoVt5hjVnr6GJundB-0udUqsyY-KuKOJM5E/bui.jpg)
AISHA BUI: SIKUVUNJA NDOA YA AMINA CHIFUPA!
WIKI iliyopita tuliwadondoshea staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui ambaye mlimbananisha na kwa maswali kibao ambayo wiki hii anayajibu.
UNGANA NAYE… Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akipozi. ANASUBIRI NINI KUOLEWA?
Dada Aisha nasikia hujaolewa, unasubiri nini, ona umri unasonga? Dismas, Lindi, 0782713879
AISHA BUI: Kuolewa ni uamuzi hivyo bado sijaamua. KUHUSU MPAKANJIA
Aisha mimi nilitaka kujua ile miaka ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSudmALqcIjlC85cbFPwqH0g9iV5yaHjP6aE0E5ZKUKuBuswdpypg3qI874loPMeav*rjrqunjn8o3tlVf-TiTfL/aishabui.jpg?width=650)
AISHA BUI ATAJA SABABU YA KUFANYA FUJO
Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amefunguka kuwa hivi karibuni aliangusha timbwili la kufa mtu kudai fedha zake za filamu aliyocheza kwa sababu fedha aliyotumia kuandaa filamu hiyo hakuhongwa na mwanaume. Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akiwa katika ofisi za kusambazia filamu za Yuneda, Mbagala jijini Dar.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Aisha ambaye alianzisha timbwili katika ofisi za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdQerjwi3vSp5SGt6KLAtZNHRIC-jxUUdx80Wqv4Unrx1MqWMN5RAYGAU12akSuF3ufpCiRcmA7Dn-NmkqsL54*/aishabui.jpg)
AISHA BUI: KUSHINDA MAISHA UWE MKAKAMAVU
Stori: Mwandishi Wetu MWIGIZAJI wa filamu anayekuja juu nchini, Aisha Bui, amesema ili kuyashinda maisha magumu Bongo, ni lazima uwe mkakamavu, kama yeye alivyolazimika kwenda kutengeneza filamu yake mpya ya Mshale wa Kifo, katika msitu wa kutisha ili kwenda tofauti na wengine. Mwigizaji wa filamu anayekuja juu nchini, Aisha Bui. “Nilijitoa maisha yangu kwa kuingia msituni kutengeneza filamu ya mapigano porini, kutafuta...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania