Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Ben Pol & Thabby Lee – Moja Moja

Sikiliza wimbo mpya unaitwa “Moja Moja” wa msanii Ben Pol humu ame rap yupo na msanii Thabby Lee Studio Classic Sound Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

New Music: Ben Pol f/ Avril & Rossie M – Ningefanyaje

Ben Pol ameachia wimbo wake mpya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha muimbaji wa Kenya, Avril pamoja na Rossie M. Wimbo umetayarishwa na Mswaki. Wakati huo Avril ametua jijini Dar es Salaam kwaajili ya media tour na promotion ya wimbo huo. Chini ni picha zao. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Bongo5

New Video: Ben Pol ft. Avril & Rossie M – Ningefanyaje

Untitled_13.5.1

Hatimaye Ben Pol ameachia video yake mpya ya ‘Ningefanyaje’ aliyowashirikisha Avril wa Kenya na msanii mpya Rossie M. Hii ndio video ya kwanza kwa Ben kufanya na director wa nje kwa kutumia location ya nje ya Tanzania. Imeshutiwa Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

KALA JEREMIAH, LA VEDA, MO MUSIC, BEN POL, STAMINA, NEY LEE WAFUNIKA UZINDUZI WA VIDEO 'USIKATE TAMAA'

Kala Jeremiah (kushoto) na Nuruwell wakipafomu kwa mara ya kwanza wimbo wa Usikate Tamaa ndani ya Maisha Club. Kala Jeremiah akikamua sambamba na Ney Lee kabla ya kuzindua video yake ya Usikate Tamaa.…

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: BEN POL - NINGEFANYAJE ft. AVRIL & ROSSIE M (Download)



The undisputed Tanzania's King of RnB is back with a Brand new RnB Ballad called Ningefanyaje released on 24th September, 2015. This song features Kenya’s Sweetheart Avril and Tanzania’s upcoming songbird Rossie M. This project is produced by Mswaki.Ben Pol took part in Coke Studio Season 3 which will be aired on 10th October, 2015 and Ningefanyaje is among  the songs he performs with a live band of Coke Studio in Nairobi, Kenya. On Coke Studio Ben Pol is paired and collaborated with...

 

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Drew Elly & Kay Lee – Love and Hustle

Watch DREW ELLY(From Tanzania) & KAY LEE(From Mozambique) performing “Love & Hustle. They are upcoming artists who “create and love good Music.” They are currently students at the University of Dar es Salaam(UDSM),Tanzania. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani