Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Bow Wow — Too Real

Rapper Bow Wow kutoka Marekani baada ya kujiunga na management ya Bad Boy Entertainment ambayo ipo chini ya P Diddy, msanii Bow Wow hajapoteza sana muda. Bow Wow amerudi na single yake mpya inaitwa “Too Real” hii single yake ya kwanza ambayo itakuwepo katika album yake mpya ya ‘Fxck Rap EP ambayo Bow Wow ana […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Bow Wow Ft DJ Willi — Too Real

Bow Wow parties down under in the video for “Too Real,” his collaboration with DJ Willi. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

BOW WOW AJITOA CASH MONEY

Rapa aliyeanza muziki tangu akiwa na miaka mitano, Bow Wow. New York, Marekani
RAPA aliyeanza muziki tangu akiwa na miaka mitano, Bow Wow, amejitoa kwenye Lebo ya Cash Money ambayo alidumu nayo kwa miaka mitano sasa. Bow Wow akiwa na aliyekuwa bosi wake Birdman.
Bow Wow aliyetesa na Kibao cha Let Me Hold You, ameamua kujitoa kwenye lebo hiyo aliyosaini miaka mitano iliyopita kutokana na kutopata mafanikio yoyote ya kimuziki...

 

10 years ago

Bongo5

Bow Wow aibwaga Cash Money Records

Cash Money Records inazidi kupukutika. Baada ya Busta Rhymes, sasa Bow Wow naye amewaaga bye bye! Rapper huyo mwenye miaka 28 alitangaza kujiondoa kwenye label hiyo aliyosaini nayo miaka mitano iliyopita kupitia ukurasa wa Facebook. Amesema kuwa hana tatizo na Cash Money wala Birdman ambaye alimshukuru kwa kumsainisha. Amedai kuwa akiwa Cash Money hakuwa na […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: R. Kelly Feat. Tinashe – Let’s Be Real Now

r-kelly-tinashe

It’s a battle of the sexes between R. Kelly and Tinashe on their collaborative single “Let’s Be Real Now.”

The twinkling track, included on Kellz’s 13th studio album The Buffet, sees the pair taking turns blaming the other for the demise of a relationship.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

5 years ago

RFI

One last event before Harry and Meghan bow out

One last event before Harry and Meghan bow out  RFIDuke and Duchess of Sussex receive standing ovation at Festival of Music  BBC NewsFarewell, Harry and Meghan, you realised that being a royal is no way to live  The GuardianRoyal goodbye: Meghan Markle and Prince Harry paint town red in last joint event  ExpressHarry and Meghan are 'annoying, preachy and have no self-awareness'  Sky News AustraliaView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani