BOW WOW AJITOA CASH MONEY
![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrNgkcapQFsakGd8UwL7FQI7ylMOXKTziMYV-ySN*glGaTWuMS-zKHGDzqrw7nNkCxfk5Fpi2I5G4Mx4qgYhet5p/bow_wow_001.jpg?width=650)
Rapa aliyeanza muziki tangu akiwa na miaka mitano, Bow Wow. New York, Marekani RAPA aliyeanza muziki tangu akiwa na miaka mitano, Bow Wow, amejitoa kwenye Lebo ya Cash Money ambayo alidumu nayo kwa miaka mitano sasa. Bow Wow akiwa na aliyekuwa bosi wake Birdman. Bow Wow aliyetesa na Kibao cha Let Me Hold You, ameamua kujitoa kwenye lebo hiyo aliyosaini miaka mitano iliyopita kutokana na kutopata mafanikio yoyote ya kimuziki...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 May
Bow Wow aibwaga Cash Money Records
9 years ago
Bongo506 Oct
Music: Bow Wow — Too Real
9 years ago
Bongo513 Oct
Video: Bow Wow Ft DJ Willi — Too Real
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Prezzo akumbuka alivyotoswa na Cash Money
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’, bado anakumbuka jinsi alivyotoswa na bosi wa kundi la Young Money Cash Money, Birdman, alipokwenda kuomba kujiunga na kundi hilo nchini Marekani.
Prezzo alitaka kujiunga na kundi hilo akidhani angekuwa mwakilishi kwa bara la Afrika, lakini bosi wa kundi hilo alikataa kwa madai kwamba msanii huyo wa Kenya hana kipato kikubwa kama wasanii wa kundi hilo.
“Nilifanikiwa kukutana na Birdman, lakini ilikuwa ngumu kupiga naye...
10 years ago
Bongo527 Jan
Lil Wayne kuondoka Cash Money pamoja na Drake na Nicki Minaj
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-k6X35hytsdg/VYmJR-W0L7I/AAAAAAAACLY/jqwv2p6hNxc/s72-c/nicki-drake.jpg)
LIL' WAYNE AIFUNGULIA KESI CASH MONEY RECORDS KISA NICKI MINAJ NA DRAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-k6X35hytsdg/VYmJR-W0L7I/AAAAAAAACLY/jqwv2p6hNxc/s400/nicki-drake.jpg)
So ina maanisha Nicki Minaj na Drake wako njiani kuimwaga Cash Money Records?ama ni stori tu!?
![wayne](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/wayne.jpg?resize=494%2C329)
10 years ago
Bongo526 Dec
Lil Wayne atishia kuishtaki Cash Money endapo itashindwa kutoa album yake ‘Tha Carter V’
11 years ago
TheCitizen04 May
Co-op sells assets to raise cash to repay huge debts debt-payment cash
10 years ago
TheCitizen30 Oct
Party cash is taxpayers’ cash!