Bow Wow aibwaga Cash Money Records
Cash Money Records inazidi kupukutika. Baada ya Busta Rhymes, sasa Bow Wow naye amewaaga bye bye! Rapper huyo mwenye miaka 28 alitangaza kujiondoa kwenye label hiyo aliyosaini nayo miaka mitano iliyopita kupitia ukurasa wa Facebook. Amesema kuwa hana tatizo na Cash Money wala Birdman ambaye alimshukuru kwa kumsainisha. Amedai kuwa akiwa Cash Money hakuwa na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrNgkcapQFsakGd8UwL7FQI7ylMOXKTziMYV-ySN*glGaTWuMS-zKHGDzqrw7nNkCxfk5Fpi2I5G4Mx4qgYhet5p/bow_wow_001.jpg?width=650)
BOW WOW AJITOA CASH MONEY
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-k6X35hytsdg/VYmJR-W0L7I/AAAAAAAACLY/jqwv2p6hNxc/s72-c/nicki-drake.jpg)
LIL' WAYNE AIFUNGULIA KESI CASH MONEY RECORDS KISA NICKI MINAJ NA DRAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-k6X35hytsdg/VYmJR-W0L7I/AAAAAAAACLY/jqwv2p6hNxc/s400/nicki-drake.jpg)
So ina maanisha Nicki Minaj na Drake wako njiani kuimwaga Cash Money Records?ama ni stori tu!?
![wayne](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/wayne.jpg?resize=494%2C329)
9 years ago
Bongo506 Oct
Music: Bow Wow — Too Real
9 years ago
Bongo513 Oct
Video: Bow Wow Ft DJ Willi — Too Real
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Prezzo akumbuka alivyotoswa na Cash Money
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’, bado anakumbuka jinsi alivyotoswa na bosi wa kundi la Young Money Cash Money, Birdman, alipokwenda kuomba kujiunga na kundi hilo nchini Marekani.
Prezzo alitaka kujiunga na kundi hilo akidhani angekuwa mwakilishi kwa bara la Afrika, lakini bosi wa kundi hilo alikataa kwa madai kwamba msanii huyo wa Kenya hana kipato kikubwa kama wasanii wa kundi hilo.
“Nilifanikiwa kukutana na Birdman, lakini ilikuwa ngumu kupiga naye...
10 years ago
Bongo527 Jan
Lil Wayne kuondoka Cash Money pamoja na Drake na Nicki Minaj
10 years ago
Bongo526 Dec
Lil Wayne atishia kuishtaki Cash Money endapo itashindwa kutoa album yake ‘Tha Carter V’
11 years ago
TheCitizen04 May
Co-op sells assets to raise cash to repay huge debts debt-payment cash
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Kibanda aibwaga Serikali
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemwachilia huru Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini, Absalom Kibanda, na wenzake waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kuandika na kuchapisha makala ya...