Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Chubby Ft Bushoke — Peku Peku

Wimbo Mpya wa Mwana Dada Chubby unaitwa “Peku Peku” kutoka Dodoma hapa amemshirikisha Bushoke Producer Kidmane B one Record Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Tembea peku uishi miaka mingi zaidi — Mpoto

Mrisho Mpoto ameendelea kujivunia kutembea peku na kudai kuwa ni njia nzuri ya kujiongezea miaka mingi ya kuishi. “Nimeshajibu hili swali mara milioni,” alisema Mrisho baada ya kuulizwa na Global TV sababu ya kutembea peku. “Ili uwe na akili lazima ukanyage chini. Unajua ili uishi muda mrefu, hili ni kosa kubwa la kiufundi ndIo maana […]

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtembea peku ashinikiza Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia

MJADALA wa lugha ya kuundishia umejadiliwa kwa kirefu katika ngazi zote za elimu na taasisi zake, wataalamu wa lugha, wahadhiri na walimu katika ngazi ya msingi na sekondari wanajadili na mwafaka haujapatikana.

Richard Ricardo maarufu Father Pekupeku kutokana na tabia yake ya kutovaa viatu naye anaishawishi serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iridhie Kiswaili kuwa lugha ya kufundishia kama yalivyo mataifa mengine yanavyotumia lugha zao za taifa katika elimu.

Huyu...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Bushoke — Bwagamoyo

Wimbo mpya kutoka kwa Bushoke unaitwa “Bwagamoyo” imefanyika katika Studio za Tidy Production,Cape Town itapatikana katika album yake mpya Bushoke International

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Bushoke Ft Mr Blue & Dully Sykes – Angel

Wimbo mpya kutoka kwa Bushoke akiwashirikisha Mr.Blue na Dully Sykes huu ni wazawadi kwa mashabiki tu ila hivi karibuni atawaletea wimbo rasmi ameiambia Bongo5. wimbo umefanyika katika studio za 4:12 wimbo unaitwa “Angel”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani