Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Maua Sama – Mahaba Niue

Mua Sama

Mwanamuziki wa kike Maua Sama ameachia wimbo mpya unaitwa “Mahaba Niue”.Producer Ema The Boy

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: DO FOR ME - YOUNG KILLER "MSODOKI" ft. MAUA SAMA (DOWNLOAD)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Maua Sama — This Love

Hatimaye mwimbaji Maua Sama ametoa video kwa mara ya kwanza, licha ya kuwa hadi sasa ana nyimbo tatu alizokuwa ameziachia bila kuwa na video. Video hii ni ya wimbo wake mpya uitwao ‘This Love’ aliomshirikisha mkali wa R&B Ben Pol. Video imeongozwa na Hanscana.

 

10 years ago

Bongo5

Maua Sama: Mwenyezi Mungu aniepushe na scandal

Hitmaker wa ‘So Crazy’ MAUA SAMA amesema hategemei scandal katika maisha yake binafsi na kimuziki kwa lengo la kupata umaarufu wa haraka usiokuwa na maslahi. ”Aaaa!! upande wangu mimi Maua Sama nachukia sana Scandal, naamini kwamba na provide nyimbo nzuri ambazo zinawavutia na zitaendelea kuwavutia ma-fans wangu si kwa kutegemea scandal kupata mafanikio katika music […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa sababu za ngoma yake na Maua Sama ‘Do For Me’ kubuma

Young Killer Msodoki amekiri kuwa single yake ‘Do For Me’ aliyomshirikisha Maua Sama imebuma. Kama ilivyo kawaida kwa wasanii wengi kama sio wote ambao huwa hawakosi sababu pale nyimbo zao zinaposhindwa kufanya vizuri, Msodoki pia ametoa sababu za wimbo huo kukosa baraka za mashabiki. Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Msodoki amesema sababu kubwa […]

 

5 years ago

Bongo5

Billnass alipanga kumshirikisha Maua Sama kwenye Mazoea, aeleza jinsi Mwana FA alivyoingia

Maua Sama ndiye alikuwa amepangwa kushirikishwa kwenye wimbo Mazoea, kwa mujibu wa Billnass.

Akizungumza kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz, Bill alisema wimbo huo aliurekodi mwaka 2014 ambapo aliingiza verse mbili na chorus yake lakini akahitaji pia sauti za Maua Sama.

“Maua ni mshkaji wangu lakini ikija kwenye biashara mimi siletagi tena ushkaji, lazima nifuate management yake na nini. Kwahiyo nikamfuata Mwana FA nikamuambia nina demo ya wimbo wangu nataka uisikilize, sababu mara nyingi pia...

 

11 years ago

GPL

LUNGI NA MAHABA NIUE

MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12 mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani