Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Rachi — Team Nzima

rachi

Rachi ni mwanamziki chipkizi kutoka Dar es salaam anayefanya muziki wa bongo flava na rap. ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Team Nzima”, Studio Cartel Studios.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Fraga — Dunia Nzima

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Msanii na pia Producer Fraga wimbo unaitwa “Dunia Nzima”

 

10 years ago

Dewji Blog

Njoo upunguze ‘stress’ za wiki nzima kwa burudani ya ‘Live Music’ na Skylight Band leo @Thai Village-Masaki

DSC_0004

 John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi.

It’s Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band,

Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa live#

Come and...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Team Selekta Ft Mesen Selekta — Tamu

Wimbo mpya kutoka kwa Team Selekta akimshirikisha Producer na msanii pia Mesen Selekta wimbo unaitwa “Tamu”

 

11 years ago

Michuzi

TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU

Mr. Iddi Sandaly,
Bachelors in Accounting, MBA, CPA, CGMA
Controller at
Property Management Company
KUSHIRIKIANA NA KINA MAMA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV
Kwa miaka mitatu mfululizo nimekuwa nikishiriki na kushirikiana na kikundi cha kina mama kwenye matembezi hiari ya Kansa. Kikundi cha kina mama wa DMV ndani yake kukiwa na watanzania wenzetu walio pitia janga la Kansa wamekuwa mbele kuwaomba na kuwataka watanzania wachangie kwenye utafiti wa Kansa na pia kuwaomba watanzania wote wafanyiwe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani