Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Fraga — Dunia Nzima

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Msanii na pia Producer Fraga wimbo unaitwa “Dunia Nzima”

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Fraga – Kitenge

kitenge

Wimbo mpya wa msanii Fraga unaitwa “Kitenge”, Studio Uprise Music, Producer Fraga

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Fraga ft AT — Nitakuimbia

Wimbo mpya kutoka kwa Msanii na Producer Fraga akimshirikisha AT wimbo unaitwa “Nitakuimbia” Studio Uprise Music

 

9 years ago

Bongo5

Music: Fraga — Kama Buzi

Wimbo mpya wa msanii Fraga unaitwa “Kama Buzi”.Kazi hii imefanyika ndani ya studio za Uprise Music” style ya mziki huu ni “Singeli safi”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Fraga — Dada tina

Wimbo mpya kutoka kwa Producer na pia msanii Fraga ngoma inaitwa “Dada tina” Studio Uprise Music Producer Fraga

 

9 years ago

Bongo5

Music: Rachi — Team Nzima

rachi

Rachi ni mwanamziki chipkizi kutoka Dar es salaam anayefanya muziki wa bongo flava na rap. ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Team Nzima”, Studio Cartel Studios.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Dewji Blog

Amnesty International: Mateso ni tatizo la dunia nzima

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema (13.05.2014) zaidi ya nusu ya nchi zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa dhidi ya mateso miaka 30 iliyopita bado zinawatesa watu.

Zaidi ya nusu ya nchi zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa dhidi ya mateso miaka 30 iliyopita bado zinawatesa watu. Hayo yamesemwa na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International katika ripoti yake iliyotolewa leo, likilaani kile lilichokiita kuwa ni mzozo wa kimataifa....

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND: MITANDAO YA KIJAMII IMESAIDIA KAZI ZANGU KUWAFIKIA MASHABIKI DUNIA NZIMA

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz mwenye ‘followers’ 489,881, kwenye twitter watu laki 131, na Instagram watu 291,643, You Tube ‘subcribers’ 76,134.Hii inamaanisha Diamond ni msanii na Mtanzania wa kwanza mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii maarufu.

Pia Diamond amefunguka jinsi mitandao ya kijamii inavyomsaidia katika kuuutangaza muziki wake na lebo yake kwa kumsogeza karibu zaidi na jamii ya watu wanaotumia mitandao hiyo dunia nzima.

 

10 years ago

Dewji Blog

www.TanzaniaBox.com yatangaza kurusha sehemu ya tamasha la Serengeti Fiesta mtandaoni dunia nzima

Attachment-1 (1)

www.TanzaniaBox.com kwa kushirikiana na Clouds TV imetangaza kurusha mtandaoni moja kwa moja sehemu ya matangazo ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ambalo mwaka huu litashereheshwa na mwanamuziki kutoka Marekani, T.I ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Grammy.

Tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam tarehe 18 mwezi wa kumi mwaka 2014

Kwa mujibu wa www.TanzaniaBox.com baadhi ya vipande vya sehemu ya tamasha la Serengeti Fiesta na matukio maalumu ya nyuma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani