Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amnesty International: Mateso ni tatizo la dunia nzima

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema (13.05.2014) zaidi ya nusu ya nchi zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa dhidi ya mateso miaka 30 iliyopita bado zinawatesa watu.

Zaidi ya nusu ya nchi zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa dhidi ya mateso miaka 30 iliyopita bado zinawatesa watu. Hayo yamesemwa na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International katika ripoti yake iliyotolewa leo, likilaani kile lilichokiita kuwa ni mzozo wa kimataifa....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Amnesty International laishtumu Misri

A.I limeushtumu utawala nchini Misri kwa kufunika mauaji wakati wa mandamano ya kuadhimisha miaka minne ya mapinduzi

 

10 years ago

BBCSwahili

Amnesty International yaikosoa Iran

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International, limekosoa jaribio la Iran kuwahamasisha wanawake kuwa na watoto wengi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Amnesty International yaonya hali Iraq

Shirika la Amnesty International limesema waasi wa Islamic State wanatekeleza kampeni ya kumaliza jamii za wachahe nchini Iraq.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Fraga — Dunia Nzima

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Msanii na pia Producer Fraga wimbo unaitwa “Dunia Nzima”

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND: MITANDAO YA KIJAMII IMESAIDIA KAZI ZANGU KUWAFIKIA MASHABIKI DUNIA NZIMA

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz mwenye ‘followers’ 489,881, kwenye twitter watu laki 131, na Instagram watu 291,643, You Tube ‘subcribers’ 76,134.Hii inamaanisha Diamond ni msanii na Mtanzania wa kwanza mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii maarufu.

Pia Diamond amefunguka jinsi mitandao ya kijamii inavyomsaidia katika kuuutangaza muziki wake na lebo yake kwa kumsogeza karibu zaidi na jamii ya watu wanaotumia mitandao hiyo dunia nzima.

 

10 years ago

Dewji Blog

www.TanzaniaBox.com yatangaza kurusha sehemu ya tamasha la Serengeti Fiesta mtandaoni dunia nzima

Attachment-1 (1)

www.TanzaniaBox.com kwa kushirikiana na Clouds TV imetangaza kurusha mtandaoni moja kwa moja sehemu ya matangazo ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ambalo mwaka huu litashereheshwa na mwanamuziki kutoka Marekani, T.I ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Grammy.

Tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam tarehe 18 mwezi wa kumi mwaka 2014

Kwa mujibu wa www.TanzaniaBox.com baadhi ya vipande vya sehemu ya tamasha la Serengeti Fiesta na matukio maalumu ya nyuma...

 

11 years ago

GPL

MATESO JUU YA MATESO

Stori: Erick Evarist na Mitandao Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, raia wa  Marekani, amezidi kuteseka baada ya kuachiwa huru kisha kudaiwa kukamatwa tena hivyo kumuongezea mateso juu ya mateso. Meriam Ibrahim, raia wa Sudan akiwa na mume wake (Daniel Wani ) ambaye ni mkristo.
Mwanamke huyo aliachiwa huru Jumatatu...

 

10 years ago

Michuzi

wanafunzi wa Edugates International School iliyoko Jeddah washerehekea International Day

Katika kuadhimisha International Day Saudi Arabia, wanafunzi wa Edugates International School iliyoko Jeddah pamoja na Mwalimu wa KiTanzania  walisherehekea siku hiyo jana ambapo Wanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali   walivaa Ki-Tanzania na kuimba nyimbo na kucheza ngoma za utamaduniwa Tanzania Wanafuzi wa KG2 wa Edugates International School iliyoko Jeddah  na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali wakiimba nyimbo za Tanzania huku wakipeperusha benderaWanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani