wanafunzi wa Edugates International School iliyoko Jeddah washerehekea International Day
![](http://3.bp.blogspot.com/-6w3BKvQnS5w/VN22jCjmtHI/AAAAAAAHDb4/AWSOHA6nUKw/s72-c/unnamed%2B(22).jpg)
Katika kuadhimisha International Day Saudi Arabia, wanafunzi wa Edugates International School iliyoko Jeddah pamoja na Mwalimu wa KiTanzania walisherehekea siku hiyo jana ambapo Wanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali walivaa Ki-Tanzania na kuimba nyimbo na kucheza ngoma za utamaduniwa Tanzania Wanafuzi wa KG2 wa Edugates International School iliyoko Jeddah na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali wakiimba nyimbo za Tanzania huku wakipeperusha bendera
Wanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6lNuiHBkLEg/VcmZ3vcNXfI/AAAAAAAHwAc/e2o-onnF0xg/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
9 years ago
MichuziWanafunzi wa shule msingi International School of Tanganyika (IST) Alyanz Nasser na Shilen Dawda watengeneza mifuko mipya
Mkurugenzi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Ofisi ya Mazingira, Bwana Julius Ningu (kulia) akiwapongeza Vijana wa Shule ya International School of Tanganyika (IST) mbele ya Waandishi wa Habari leo 23 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) kwa ubunifu wa kutengeneza mifuko kwa ajili ya utunza mazingira dhidi ya utupaji taka ovyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Limited, Bwana Constantine Majavika, anaemfuatia ni Alyanz Nasser na mwenzie Shilen Dauda (wa pili ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6lNuiHBkLEg/VcmZ3vcNXfI/AAAAAAAHwAc/e2o-onnF0xg/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi10 Jan
11 years ago
TheCitizen19 Jul
Lessons from Mandela International Day
10 years ago
Vijimambo13 Jun
International Albinism Awareness Day.
![](http://wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/9207902_orig.png)
Na inaadhimishwa kwa mara ya kwanza tangu UN iitangaze (Nov 18 2014)
Kama upo mikoa ya kusini basi tuungane saa tisa kamili (Afrika Mashariki) sawa na 8:00am EST kwenye Reggae Time ya Pride F.
Nitazungumza na mwanaharakati mTanzania aishiye hapa USA aliyeshiriki mchakato wa miaka kadhaa kupigania siku hii.
Ni kupitia 87.8Fm kwa mikoa ya kusini
Duniani kote kupitia www.878pridefm.com.
Ama kwa mlio Marekani na Canada piga simu (832) 280-0658
Kama una...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8I280frWDdY/VP1Hzqn3lII/AAAAAAAHIzU/IGmtmlZ5iLs/s72-c/unnamed%2B(36).jpg)
EAC CELEBRATES INTERNATIONAL WOMEN’S DAY
Under this year’s theme ‘Make it Happen,’ the Deputy Secretary General, together with the Arusha City Council, Women Organisations, Staff members of the EAC and other invited guests, took part in a ‘Walk for Gender Equality’ around designated areas in Arusha town, visited the Maternity Unit of Mt. Meru Regional Hospital, launched...
9 years ago
TheCitizen21 Sep
Tanzania marks International Peace Day
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MbwNI2H7qJo/U7CLMMrBAiI/AAAAAAAFtjU/eRxaLfq2Ats/s72-c/unnamed+(39).jpg)
Tanzania celebrates International Day in abuja, Nigeria
![](http://3.bp.blogspot.com/-MbwNI2H7qJo/U7CLMMrBAiI/AAAAAAAFtjU/eRxaLfq2Ats/s1600/unnamed+(39).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7ph9x7puI5c/U7CLMo85BmI/AAAAAAAFtjY/hD-74aJ7rWc/s1600/unnamed+(40).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-q4Gr7ILdQsc/U7CLMnCq4HI/AAAAAAAFtjc/p2C7PHUFQ4Y/s1600/unnamed+(41).jpg)