Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


iringa international school

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wanafunzi wa Edugates International School iliyoko Jeddah washerehekea International Day

Katika kuadhimisha International Day Saudi Arabia, wanafunzi wa Edugates International School iliyoko Jeddah pamoja na Mwalimu wa KiTanzania  walisherehekea siku hiyo jana ambapo Wanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali   walivaa Ki-Tanzania na kuimba nyimbo na kucheza ngoma za utamaduniwa Tanzania Wanafuzi wa KG2 wa Edugates International School iliyoko Jeddah  na Mwalimu wao Bi Sabrina Ali wakiimba nyimbo za Tanzania huku wakipeperusha benderaWanafuzi wa KG2 na Mwalimu wao Bi Sabrina...

 

11 years ago

TheCitizen

Iringa school short of 160 hostel beds

Mwembetogwa Secondary School girls’ hostels here are in acute shortage of beds, compelling most female students to rent rooms in surrounding communities.

 

10 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI Southern Highlands School LTD, Mafinga, Iringa,

Southern Highlands School LTD ya Mafinga, Iringa, inatangaza nafasi za kazi za ualimu katika shule yake mpya ya secondary ya MUFINDI HIGHLANDS SECONDARY SCHOOL itakayo kuwepo maeneo ya Kinyanambo ‘C’ Mafinga. Shule inatangaza nafasi za walimu wa secondary wenye diploma. Nafasi zipo kwa walimu wa masomo ya sayansi, mathematics, book keeping, commerce, kiswahili na masomo ya arts. Maombi yawasilishwe shuleni Southern Highlands School kwa maandishi, yaambatanishwe na nakala za vyeti,...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA ST.MARY'S INTERNATIONAL SCHOOL JIJINI MBEYA

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Mary's iliyoko eneo la Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Mary's Forest Jijini MbeyaWazazi na waleziUongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo.
Kwa picha zaidi na Jamiimoja blog BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa shule msingi International School of Tanganyika (IST) Alyanz Nasser na Shilen Dawda watengeneza mifuko mipya


Mkurugenzi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Ofisi ya Mazingira, Bwana Julius Ningu (kulia) akiwapongeza Vijana wa Shule ya International School of Tanganyika (IST) mbele ya Waandishi wa Habari leo 23 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) kwa ubunifu wa kutengeneza mifuko kwa ajili ya utunza mazingira dhidi ya utupaji taka ovyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Limited, Bwana Constantine Majavika, anaemfuatia ni Alyanz Nasser na mwenzie Shilen Dauda (wa pili ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hotel ya Double Tree By Hilton Tanzania wadhamini siku ya chakula iliyofanyika kwenye viwanja vya International School Tanganyika

Hotel ya Double Tree By Hilton Tanzania Tarehe 18.10.2014 walidhamini Siku ya maonesho ya chakula Iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya International Schools Tanganyika. Akielezea madhumuni ya kuandaa siku hiyo  Mkurugenzi wa Mauzo  wa Hotel za Double Tree By Hilton Tanzania Bwana Florenso Kirambata alisema kuwa nia yao kubwa ni kuweza kuyapa fursa makampuni mbali mbali na wajasiriamali wadogo wadogo kuweza kuonyesha uwezo wao na bidhaa wanazotengeneza.

Bw. Florenso  akaongeza kuwa zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani