Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotel ya Double Tree By Hilton Tanzania wadhamini siku ya chakula iliyofanyika kwenye viwanja vya International School Tanganyika

Hotel ya Double Tree By Hilton Tanzania Tarehe 18.10.2014 walidhamini Siku ya maonesho ya chakula Iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya International Schools Tanganyika. Akielezea madhumuni ya kuandaa siku hiyo  Mkurugenzi wa Mauzo  wa Hotel za Double Tree By Hilton Tanzania Bwana Florenso Kirambata alisema kuwa nia yao kubwa ni kuweza kuyapa fursa makampuni mbali mbali na wajasiriamali wadogo wadogo kuweza kuonyesha uwezo wao na bidhaa wanazotengeneza.

Bw. Florenso  akaongeza kuwa zaidi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTEL ZA DOUBLE TREE BY HILTON TANZANIA WADHAMINI SIKU YA CHAKULA

 Hotel Za Double Tree By Hilton Tanzania Tarehe 18.10.2014 walidhamini Siku Ya Maonesho Ya chakula Iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya Tanganyika International Schools.Akielezea Madhumuni ya kuandaa siku hiyo  Mkurugenzi wa Mauzo  wa Hotel za Double Tree By Hilton Tanzania Bwana Florenso Kirambata alisema kuwa nia yao kubwa ni kuweza kuyapa fursa makampuni mbali mbali na wajasiliamali wadogo wadogo kuweza kuonyesha uwezo wao na bidhaa wanazotengeneza.Mr Florenso  akaongeza kuwa zaidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hotel ya DoubleTree By Hilton ya Jijini Dar yafanya usafi wa mazingira yanayoizunguka hotel hiyo

DSC_0021

 Mkurugenzi mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw.Ian Mclachan (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa Bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku akishirikiana bega kwa bega na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Hoteli ya Double Tree By Hilton, Bw. Yehia Elmansoury (wa kwanza kushoto).(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).  Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Double Tree by Hilton, Bw. Florenso Kirambata(kushoto) akifanya usafi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI YAADHIMISHWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Maandamano  yakiongozwa na bendi ya jeshi la polisi Baadhi ya vijana kutoka shule mbalimbali wakiandamana kuingia katika viwanja vya mnazi mmoja wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishw  jijini Dar es Salaam. Mashirika mbalimbali  ya mataifa yanayofanya shughuli za vijana ni kamaUNFPA, IYF, UNIC, ILO, RESTLESS DEVELOPMENT, YUNA, AMREF, MARIE STOPES, pamoja na PSI.(Picha zote na Geofrey Adroph)  Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,...

 

9 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa shule msingi International School of Tanganyika (IST) Alyanz Nasser na Shilen Dawda watengeneza mifuko mipya


Mkurugenzi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Ofisi ya Mazingira, Bwana Julius Ningu (kulia) akiwapongeza Vijana wa Shule ya International School of Tanganyika (IST) mbele ya Waandishi wa Habari leo 23 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) kwa ubunifu wa kutengeneza mifuko kwa ajili ya utunza mazingira dhidi ya utupaji taka ovyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Limited, Bwana Constantine Majavika, anaemfuatia ni Alyanz Nasser na mwenzie Shilen Dauda (wa pili ...

 

9 years ago

Mwananchi

Hoteli Double Tree, Slip Way kiama

Wakati operesheni ya kuweka alama ya X kwenye nyumba zilizojengwa mabondeni, maeneo ya wazi na kinyume na taratibu ikiendelea, Hoteli za Double Tree na Slip Way nazo zimekumbwa na pigo hilo.

 

10 years ago

Michuzi

From Moshi to Harvard Presentation by International School Moshi — This Saturday at Seacliff Hotel

International School Moshi welcomes you all to join us for a presentation and find out how we helped one of our students get into Harvard University. When: Feb 14th, 10:00 AM | Where: Sea Cliff Hotel, Dar es Salaam For more info please visit us on www.ismoshiarusha.org

 

9 years ago

Global Publishers

Jumba la Mama Rwakatare, Hoteli za Double Tree na Slip Way Kubomolewa

1Jumba la Mchungaji Mama Rwakatale Wakati operesheni ya kuweka alama ya X kwenye nyumba zilizojengwa mabondeni, maeneo ya wazi na kinyume na taratibu ikiendelea, Hoteli za Double Tree na Slip Way nazo zimekumbwa na pigo hilo. Hoteli hizo pamoja na nyumba ya Maheshbhai Patel na baadhi ya wamiliki wengine wa nyumba ambao kuta zake zimejengwa karibu na barabara ya Slip Way eneo la Msasani Peninsula, wamepewa siku saba kuzibomoa. 3 Jumba la Mama Rwakatale likiwa limekewa alama ya X Jana,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani