HOTEL ZA DOUBLE TREE BY HILTON TANZANIA WADHAMINI SIKU YA CHAKULA
Hotel Za Double Tree By Hilton Tanzania Tarehe 18.10.2014 walidhamini Siku Ya Maonesho Ya chakula Iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya Tanganyika International Schools.Akielezea Madhumuni ya kuandaa siku hiyo Mkurugenzi wa Mauzo wa Hotel za Double Tree By Hilton Tanzania Bwana Florenso Kirambata alisema kuwa nia yao kubwa ni kuweza kuyapa fursa makampuni mbali mbali na wajasiliamali wadogo wadogo kuweza kuonyesha uwezo wao na bidhaa wanazotengeneza.Mr Florenso akaongeza kuwa zaidi ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
Hotel ya Double Tree By Hilton Tanzania wadhamini siku ya chakula iliyofanyika kwenye viwanja vya International School Tanganyika
Hotel ya Double Tree By Hilton Tanzania Tarehe 18.10.2014 walidhamini Siku ya maonesho ya chakula Iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya International Schools Tanganyika. Akielezea madhumuni ya kuandaa siku hiyo Mkurugenzi wa Mauzo wa Hotel za Double Tree By Hilton Tanzania Bwana Florenso Kirambata alisema kuwa nia yao kubwa ni kuweza kuyapa fursa makampuni mbali mbali na wajasiriamali wadogo wadogo kuweza kuonyesha uwezo wao na bidhaa wanazotengeneza.
Bw. Florenso akaongeza kuwa zaidi...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Hotel ya DoubleTree By Hilton ya Jijini Dar yafanya usafi wa mazingira yanayoizunguka hotel hiyo
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Hoteli Double Tree, Slip Way kiama
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Jumba la Mama Rwakatare, Hoteli za Double Tree na Slip Way Kubomolewa
![1](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/1.jpg)
![3](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WRK0YwPZplM/U85lKVoozhI/AAAAAAAF4vk/ep3NGSA4lg4/s72-c/__800x800_53c0dd8b09dea.jpg)
HILTON WORLDWIDE OPENS DOUBLETREE BY HILTON ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-WRK0YwPZplM/U85lKVoozhI/AAAAAAAF4vk/ep3NGSA4lg4/s1600/__800x800_53c0dd8b09dea.jpg)
“Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance, and we are proud to enter as the first global hotel brand in the city. Our newest hotel offers a perfect marriage of culture and comfort, underscored by DoubleTree by Hilton’s...
5 years ago
Contactmusic.Com10 Apr
Paris Hilton | Paris Hilton's family donate $10M towards Covid-19 relief efforts
9 years ago
VijimamboMAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 BAHATI MURIGA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI WASHINGTON DC
9 years ago
VijimamboSend off ya Coletha Makuala ilivyofana Virgimark Hotel, mjini Shinyanga, Tanzania siku ya July 4, 2015
Coletha Makuala na Sam Mfalila waishio Nashville, Tennessee (USA) wakiingia ukumbini kwenye Sendoff yao iyofanyika tarehe nne mwezi wa saba 2015 katika ukumbi wa Virgimark Hotel, Shinyanga, Tanzania
Coletha akiwa amepozi na mpambe wake ambaye pia ni mdogo wake, Jacklin Kahangwa baada ya kuingia ukumbini kwenye sherehe ya send off yake
Coletha akpata u kodak moment na mumewe mtarajiwa bwana Sam Mfalila ambao kwa sasa wote wanaishi...
9 years ago
MichuziVOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.