Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUSOMA VIJIJINI, MARA MHESHIMIWA NIMROD MKONO

Musoma Vijijini ni moja ya majimbo ya uchaguzi yaliyopo mkoani Mara, likiongozwa na Mheshimiwa Nimrod Mkono kwa tiketi ya CCM. Kwa mujibu wa upepo wa kisiasa jimboni humo, Mheshimiwa Mkono atakuwa na kazi kubwa ya kutetea jimbo lake kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa jimbo lake, ikiwemo uduni wa huduma za kijamii, kuporomoka kwa kiwango cha elimu, uhaba wa maji sambamba na ubovu wa miundo mbinu. Yote...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OSTAZ JUMA KUMVAA NIMROD MKONO!

Ostaz Juma katika Pozi Ostaz Juma alipokuwa nje ya nchi Baada ya kimya cha muda mrefu na baada ya tetesi kuwa Ostaz Juma naye anajituma kwenye siasa, hatimaye ameibuka na kufungukia ishu ya Ubunge kuwa ni kweli anajiandaa kujitosa kwenye siasa. Juzi mtandao huu uliripoti kile ambacho alikiposti Ostaz Juma kwenye mtandao wake wa Instagram ambacho kiliashiria kujiandaa kuingia Bungeni ambapo baada ya kuibuka kwa stori hiyo, Ostaz...

 

11 years ago

Michuzi

utaratibu wa kutembelea vijijini mara kwa mara kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ni muhimu - wito

Katibu tawala wa mkoa wa dodoma Ndg. Rehema Madenge amemtaka Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya mpya ya Chemba mkoani Dodoma na timu yake ya wataalamu kuweka mara moja utaratibu wa kutembelea vijijini mara kwa mara kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwenye wilaya hiyo mpya.   Agizo hilo lilitolewa mapema wiki hii wakati wa ziara ya timu ya wataalamu kutoka sekretarieti ya mkoa wa dodoma wakiongozwa na katibu tawala hiyo walipotembelea wilaya ya chemba...

 

10 years ago

GPL

MUSOMA VIJIJINI HUDUMA ZA AFYA, MAJI SAFI, ELIMU NI TATIZO KUBWA

Musoma Vijijini ni moja kati ya wilaya sita zinazounda Mkoa wa Mara. Upande wa Kaskazini, inapakana na Tarime na Musoma Mjini, Upande wa Mashariki, kuna Wilaya ya Sengerema, Kusini kuna Wilaya ya Bunda na Magharibi inapakana na Ziwa Victoria. Mheshimiwa Nimrod Mkono. Pia Musoma Vijijini ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Nimrod Mkono kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari...

 

9 years ago

Vijimambo

MAFURIKO YA LOWASSA MJINI MUSOMA, MKOANI MARA LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni,...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI (Mb) KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA

Wizara ya Ujenzi napenda kutoa taarifa ka umma kuwa Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kukagua miradi  mbaimbali ya Maendeleo katika  mkoa wa Mwanza na Mara.Mheshimiwa Waziri Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Mwanza tarehe 06 Julai ambapo atakagua mradi wa Ujenzi wa barabara ya Usagara – Kisesa (by pass) yenye urefu wa km. 16.7 inayojenga kwa kiwango cha lami.

Siku inayofata tarehe 07 Julai, Mheshimiwa Waziri ataelekea mkoani Mara kukagua...

 

10 years ago

Mwananchi

Udhalilishaji, unyanyasaji na kulemaza wanawake unaondelea vijijini mara

Anaweza kuwa nyanya, mpwa, mama, dada, shangazi, shemeji, binti; ili mradi uhusiano haukwepeki.

 

10 years ago

Habarileo

CCM Mara yampongeza JK kuunga mkono BMK

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya, amempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kitendo chake cha kuunga mkono Bunge Maalum la Katiba wakati wote lilipokuwa linaendelea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani