Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUUNGANO WETU NI FAHARI YETU


Na Emmanuel J. Shilatu
Ni miaka 56 imetimia tangu jahazi lililowabeba Watanganyika na Wazanzibar liweke historia ya kung’oa nanga mara baada ya Jamhuri Muungano wa Tanzania kuzaliwa rasmi mnamo April 26,1964. Hii ilitokana na ujasiri, ushupavu na nia ya dhati waliyokuwa nayo waasisi wa Muungano huu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Tanganyika) na Abeid Aman Karume (Zanzibar).
Hatua hiyo ilifikiwa kutokana na mtiririko wa kimazingira na mahusiano ambayo yalishabihiana kama sio kufanana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mtanzania

Taifa letu, fahari yetu

Kikwete na SheinNa Waandishi wetu

RAIS Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein jana wamepokea Katiba inayopendekezwa mjini Dodoma.

Akizungumza katika sherehe  zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri,Rais Kikwete aliwataka watu ambao hawakuridhika na mchakato wavute subira.

Sherehe hizo zimefanyika huku wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiwa wamesusia vikao vya Bunge hilo tangu Aprili 16, mwaka huu.

Rais Kikwete aliyeanza kuhutubia saa moja jioni, alisema licha ya uzuri wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana wetu, hazina yetu

Mabadiliko ni kitu kisichoepukika katika maisha ya wanadamu. Maendeleo ya nchi na watu huzuka kwa nchi kukubali kubadilika na mabadiliko.

 

5 years ago

Michuzi

Ubora wa Mazingira yetu ndio Uhai na Ustawi Wetu – Zungu


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Wakaguzi wa Mazingira katika Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 05 Juni 2020. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akisoma hotuba kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 5, 2020 jijini Dodoma yaliyoambatana na ufungaji na utoaji vyeti kwa wakaguzi wa mazingira kutoka Mamlaka za Serikali za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ajenda ya utekelezaji kwa watu wetu na dunia yetu — Nikhil Seth

Press Conference

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo Endelevu (DESA) ya Umoja wa Mataifa, mjini  New York, Marekani, Bw. Nikhil Seth akifafanua kuhusu mikakati inayoendelea ndani ya Umoja wa Mataifa mwaka huu ili kuwa na Maendeleo Mapya endelevu yatakayochukua nafasi ya Malengo ya Milennia mwishoni mwa mwaka huu wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

MWAKA 2015 ni wa kuadhimisha sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Pia huu ni mwaka ambao nchi zitakutana kuidhinisha mikakati ijayo ya malengo kwa watu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muungano wetu ni wa hiari au shuruti?

KWA mujibu wa sensa ya idadi ya watu na makazi ya mwaka 2012, vijana ni zaidi ya asilimia 60 ya watu wote takribani milioni 45. Kwa tafsiri ya takwimu hizo...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kero zisivunje Muungano wetu’

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Juma Ali Khatibu amesema kero za Muungano haziwezi kuwa sababu ya kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaliwa mwaka 1964.

 

10 years ago

Habarileo

'Muungano wetu ni zaidi ya thamani ya fedha'

BUNGE la Katiba limeelezwa kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliasisiwa kutokana na kuwepo faida kubwa ya uchumi wa wananchi na usalama wa nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani