Ajenda ya utekelezaji kwa watu wetu na dunia yetu — Nikhil Seth
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo Endelevu (DESA) ya Umoja wa Mataifa, mjini New York, Marekani, Bw. Nikhil Seth akifafanua kuhusu mikakati inayoendelea ndani ya Umoja wa Mataifa mwaka huu ili kuwa na Maendeleo Mapya endelevu yatakayochukua nafasi ya Malengo ya Milennia mwishoni mwa mwaka huu wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
MWAKA 2015 ni wa kuadhimisha sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Pia huu ni mwaka ambao nchi zitakutana kuidhinisha mikakati ijayo ya malengo kwa watu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia) na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).
Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tVt7OqUrwAs/XqWkjjMTtVI/AAAAAAALoTA/1F0yYNUWFb0vob5bvL1wkOrMuozBj8goACLcBGAsYHQ/s72-c/4d70f2eb-b5a3-4d7b-9a0c-c3af4d755cb0.jpg)
MUUNGANO WETU NI FAHARI YETU
![](https://1.bp.blogspot.com/-tVt7OqUrwAs/XqWkjjMTtVI/AAAAAAALoTA/1F0yYNUWFb0vob5bvL1wkOrMuozBj8goACLcBGAsYHQ/s640/4d70f2eb-b5a3-4d7b-9a0c-c3af4d755cb0.jpg)
Na Emmanuel J. Shilatu
Ni miaka 56 imetimia tangu jahazi lililowabeba Watanganyika na Wazanzibar liweke historia ya kung’oa nanga mara baada ya Jamhuri Muungano wa Tanzania kuzaliwa rasmi mnamo April 26,1964. Hii ilitokana na ujasiri, ushupavu na nia ya dhati waliyokuwa nayo waasisi wa Muungano huu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Tanganyika) na Abeid Aman Karume (Zanzibar).
Hatua hiyo ilifikiwa kutokana na mtiririko wa kimazingira na mahusiano ambayo yalishabihiana kama sio kufanana...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Vijana wetu, hazina yetu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yV0ZOuW6Mqo/XtqC9UgzdAI/AAAAAAALsxU/X7XrPxeE-fgwpwLLErlbNeHGSIjXA0IcwCLcBGAsYHQ/s72-c/2-4.jpg)
Ubora wa Mazingira yetu ndio Uhai na Ustawi Wetu – Zungu
![](https://1.bp.blogspot.com/-yV0ZOuW6Mqo/XtqC9UgzdAI/AAAAAAALsxU/X7XrPxeE-fgwpwLLErlbNeHGSIjXA0IcwCLcBGAsYHQ/s640/2-4.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Wakaguzi wa Mazingira katika Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 05 Juni 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/928dc05a-6894-4a15-949b-e0aa103b461d.jpg)
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Ni kweli kuwa wanasiasa wetu ni watu wa watu?
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wamuenzi Seth Benjamini wa Azimio la Arusha kwa usafi
KIKUNDI cha hamasa cha kuwaenzi viongozi na waasisi wa Taifa cha Loliondo Group, mkoani Arusha, kimemuenzi shujaa Seth Benjamini aliyefariki dunia akitembea kwa miguu kuunga mkono Azimio la Arusha, kwa kufanya usafi wa mazingira ulioambatana na kusafisha kaburi la shujaa huyo.
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Watu 19 wafariki dunia kwa kipindupindu
Na Benjamin Masese, Mwanza
SERIKALI imesema watu 631 mkoani Mwanza wameugua ugonjwa wa kipindupindu kati ya Januari hadi Desemba 15, mwaka huu ambapo kati yao 19 wamefariki dunia.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo wakati akizungumza na madiwani pamoja watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu wiki iliyopita.
Wakati Mulongo akitoa takwimu hizo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Lwakyendera Onesmo aliliambia MTANZNAIA jana kwamba wagonjwa wapya wameendelea...
9 years ago
StarTV03 Nov
Watu wawili wafariki dunia kwa mafuriko
Watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha na wengine kupoteza mali zenye thamani jijini Mwanza kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha majira ya saa kumi na mbili alfajiri ya leo.
Waliopoteza maisha ni pamoja na aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa akiwahi shule kwa ajili ya kufanya mtihani wake wa mwisho na mmoja wa waendesha pikipiki aliyekuwa akiwawahisha wanafunzi wengine wa kidato cha nne kufanya mtihani wao wa mwisho.
Majira ya saa tatu asubuhi jijini Mwanza...