Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka 2013; uliacha ‘vilio’ kwa tembo

>Kama Tembo wa Tanzania wangeulizwa kuna jambo gani kubwa hawatalisahau kwa mwaka 2013, bila shaka jibu lingekuwa: “Tuliwindwa, tukauawa sisi na watoto wetu na bado tuna hofu.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mwaka 2013 kwa picha

Mwaka wa 2013 utakumbukwa na wengi kwa picha hizi

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2013 ulikuwa wa majonzi kwa wasanii

Mwaka 2013 ukiwa unaelekea ukingoni, umekuwa wa huzuni kwenye tasnia ya filamu kutokana na wasanii wengi kupoteza maisha.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lukuvi atoa taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.Kitabu cha Kurasa 56 chenye taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013.Baadhi ya picha za vielelezo ndani ya taarifa hiyo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii,Kanda ya Kati.

 

11 years ago

GPL

MeTL YASHINDA TUZO 3 ZA RAIS ZA WATENGENEZAJI BIDHAA KWA MWAKA 2013‏

Na. Mwandishi wetu. Makampuni matatu makubwa yaliyo ndani ya MeTL Group hivi majuzi yamefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013. Makampuni hayo ni: East Coast Oils & Fats Ltd ya Kurasini ambayo hutengeneza sabuni na mafuta ya kupikia pamoja na bidhaa nyingine. Afritex Limited ambayo hutengeneza Khanga, Vitenge na bidhaa zifananazo; na 21st Century Textiles ambayo ni kampuni kubwa na ya kisasa Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani