Mwaka 2013 ulikuwa wa majonzi kwa wasanii
Mwaka 2013 ukiwa unaelekea ukingoni, umekuwa wa huzuni kwenye tasnia ya filamu kutokana na wasanii wengi kupoteza maisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
AMANDA: MWAKA 2013 ULIKUWA MAJANGA KWANGU
Tamrina Poshi ‘Amanda’. Stori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa mwaka 2013 ulikuwa majanga kwake kwani ulikuwa mgumu sana na mambo yake hayakumwendea vizuri. Akichonga na gazeti hili, Amanda alisema bora mwaka huu upite, kwani ulikuwa mgumu sana kwa upande wake katika mambo f’lani ambayo hakutaka kuyataja ila anaamini kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Rais wangu Kikwete, Mwaka 2013 ulikuwa ni majanga!
RAIS wangu tunapoufungua mwaka 2014 na kuufunga mwaka 2013 tunapata fursa nyingine ya kujitafakari na kuyapima yote tuliyoyafanya kwa mwaka mzima uliopita. Tujiulize, ni kwa jema lipi tutakumbukwa au ni...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
2013 : Ulikuwa mwaka wa mapinduzi katika Tehama, kilimo
Sayansi na teknolojia, ni sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Kila kukicha wanasayansi wanavumbua vitu vipya vinavyoifanya dunia kuwa kijiji kimoja kiutendaji, hasa upande wa mawasiliano.
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Mwaka 2013; uliacha ‘vilio’ kwa tembo
>Kama Tembo wa Tanzania wangeulizwa kuna jambo gani kubwa hawatalisahau kwa mwaka 2013, bila shaka jibu lingekuwa: “Tuliwindwa, tukauawa sisi na watoto wetu na bado tuna hofu.â€
10 years ago
Mwananchi07 Dec
2014 ulikuwa mwaka wa ‘rangirangi’
Mwaka 2014 unaelekea kwisha. Hiki ni kipindi kizuri cha kuangalia ni yapi yaliyofanyika. Na je yalifanyika kama yalivyopangwa au la? Wakati ukitafakati yaliyotokea, ni vyema pia ukachukua kalamu na karatasi kujipanga kwa ajili ya mwaka ujao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania