Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKASEGE KUWASHA MOTO MINNESOTA MEMORIAL WEEK-END


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Diamond kuwasha Ngololo Houston Texas USA Memorial Weekend May 25

LIMITED ADVANCE TICKETS ONLINE NUNUA YAKO MAPEMA MLANGONI ZITAONGEZEKA….BOFYA WWW.DIAMONDUSATOUR.COM

 

KWA MARA YA KWANZA KABISA SHOW HII  ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI AMBAO JAY Z,P DIDDY,RICK ROSS,TI,YOUNG JEEZY,P SQUARE NA WENGINE WENGI WALISHA UTUMIA KUANGALIA UKUMBI HUO BOFYA HAYA

 

10 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI


 Kutoka kushoto ni Maria Rutayuga kuotoka Maryland, Jesca Kalemera kutoka New Jersey, Mercy Sukaya kutoka Michigan na Grace Mlingi kutaoka Maryland. Washiriki wakimsikiliza mmoja ya waratibu alipokua akiwaelekeza jambo kwenye hotel waliyofikia ya Double Tree iliyopo Dwntown Silver Spring.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI‏

 Miss Tanzania USA Pageant kesho itafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki wenzake huku Pendo Rancy (kushoto) mmoja ya waratibu wa Miss Tanzania USA Pageant akimsikiliza wengine katika picha ni washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant 2014 Maria Rutayuga (wapili toka kushoto), Mercy Sukaya (watatu toka...

 

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

10 years ago

Vijimambo

MANA CONFERENCE THIS WEEKEND: MWALIMU MWAKASEGE NA DIANA MWAKASEGE WATAKUA DMV


Friday 6pm to 10pmSaturday 8am to 10pm Sunday 8am to 1pm
Please call the number on the flier for more information 

 

10 years ago

Mwananchi

Majirani kuwasha moto leo

Mashabiki wa soka England, Hispania au hata Afrika Mashariki zinakopendwa timu hizo leo watatuliza kiu zao kwa kuona mechi kali baina ya majirani, maarufu derby.

 

10 years ago

Mwananchi

Fiesta kuwasha moto Iringa leo

Baada ya kufanya makubwa katika Tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora, tamasha hilo linafanyika leo hii mjini Iringa.

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond kuwasha moto Dar Live

ymCTBkpDiamond Platinumz.

KWENYE bodaboda, bajaj zote za town, redioni, luningani na kwenye mitandao mingi inazungumziwa pini mpya ya Utanipenda, kitu kipya cha Diamond Platinumz maarufu mitaani kama Baba Tiffah.

Wakati hayo yakiendelea, mwishoni mwa wiki iliyopita, yeye na mpenziwe, Zarinah Hassan au Mama Tiffah, wakafanikiwa kujiongezea tuzo nyingine ya ASFA 2015 katika kipengele cha Best Couple ya Afrika Mashariki, zilizotolewa Uganda.

Ukiachana na hiyo tuzo na nyingine nyingi alizokomba na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani