Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKIFWAMBA AWABWATUKIA BONGO MOVIE

Na GLADNESS MALLYA RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba amewabwatukia wasanii wanaodai  shirikisho hilo limeanguka baada ya baadhi yao kujiunga na Bongo Movie Unity. RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba.
Akizungumza kwa hisia kali na gazeti hili, Mwakifwamba alisema, TAFF ni taasisi kubwa na ipo kwa ajili ya kushughulikia mambo yenye tija kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AWAINGIZA CHAKA BONGO MUVI

Hamida Hassan na Gladness Mallya
WASANII wa sinema wanaounda Kundi la Bongo Muvi, wamemshutumu Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba kwamba amewaingiza chaka katika uteuzi wa mjumbe anayewawakilisha katika Bunge la Katiba lililoanza juzi mjini Dodoma. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba. Wakizungumza katika kikao cha dharura kilichoitishwa ghafla Jumatatu iliyopita kwenye viwanja vya...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI WAWATUMA WAZEE KWA MWAKIFWAMBA

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba akifafanua jambo kwa wanahabari wa GPL. Stori: Hamida Hassan Uongozi wa Bongo Muvi Unity umewatuma wazee akiwemo Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ kwenda kwa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba kuhakikisha wanamaliza tofauti zao ili wawe kitu kimoja. Ahmed Ollotu ‘Mzee… ...

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA: INGEKUWA BONGO, LUPITA ASINGENG’AA

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global. Stori: Joseph Shaluwa
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba, amesema tasnia ya sinema za Kibongo imebadilishwa na kuondolewa kwenye taaluma na kuzingatia muonekano na uzuri wa mtu akasema: “Kama msanii wa Kenya Lupita Nyong’o angekuwa Mbongo asingepewa nafasi maana...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu

Muigizaji wa filamu za Bongo ambaye naye ameingia kwenye Bongo Fleva, Florah Mvungi a.k.a H.Mama na msanii wa muziki wa mduara AT ambao hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja ‘Mkazurule’ , walikuwa wageni kwenye kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Miongoni mwa vitu ambavyo Florah ambaye pia ni mke wa H.Baba alivisema ni kuwa waigizaji […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani