MWAKIFWAMBA: INGEKUWA BONGO, LUPITA ASINGENG’AA
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global. Stori: Joseph Shaluwa RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba, amesema tasnia ya sinema za Kibongo imebadilishwa na kuondolewa kwenye taaluma na kuzingatia muonekano na uzuri wa mtu akasema: “Kama msanii wa Kenya Lupita Nyong’o angekuwa Mbongo asingepewa nafasi maana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pXWI1kxUZH5mkSrFQF1cA9SgocouS-7g9zPjE9IwrgI5QfaH-jPsBtEDKzNt7n0ur7J-5Xtelo7nVKPgsjnRUY4sdXLXm8ma/mwakifambwa.jpg)
MWAKIFWAMBA AWABWATUKIA BONGO MOVIE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8Jlkkib2dlblK1xE7sqeYspts0tsldj2yMdw2ng-D*lvzqAYdig*sW-HzD9taKpnhCse96Vbr-td3MNvngO0bHy4/mwakifambwa.jpg?width=650)
MWAKIFWAMBA AWAINGIZA CHAKA BONGO MUVI
11 years ago
GPLBONGO MUVI WAWATUMA WAZEE KWA MWAKIFWAMBA
11 years ago
Bongo519 Jul
Kabi Gethaiga: Mkenya aliyeigiza filamu ya Going Bongo aliyeshika nafasi ya 2 kwenye usaili uliompa Lupita Nyong’o shavu la ’12 Years A Slave’
9 years ago
Habarileo25 Aug
Nadir: Tungefungwa ingekuwa aibu yetu
NAHODHA wa mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema kama wasingeifunga Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii mwishoni mwa wiki, ingekuwa ni aibu kwao.
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Trump:Dunia ingekuwa bora na Gaddaffi na Saddam
10 years ago
Vijimambo29 Nov
INGEKUWA MIMI WEREMA, NISINGESUBIRI KUTIMULIWA, NINGEJIUZULU
![](http://api.ning.com/files/V0EnpUkUMSWQT2Z9R*ZZmirWArYuf*Y6Ptpmg-*u-Qm5k8eIf5*37y6OvTv*UFwQVuSF2nRIS-jTNMRjxHH06KgFXA5bneN5/AGAkwamaClip.jpg?width=650)
Jaji Frederick Werema akizungumza jambo
Kwako Jaji Frederick Werema.
Najua katika siku za hivi karibuni umekuwa katika wakati mgumu sana kutokana na kushiriki kwako kwa namna moja au nyingine katika sakata la mabilioni ya Escrow. Najua jinsi ulivyochanganyikiwa lakini sina namna nyingine zaidi ya kukufikishia ujumbe huu, hata kama utakuchukiza.
Mimi sikuzaliwa Oktoba 10, 1955 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Wegero wala Sekondari za Bwiru na Songea Boys kama wewe. Sikuchukua Shahada ya...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ahadi za wanasiasa zingekuwa kweli, nchi ingekuwa paradise
KAMA ahadi zote wanasiasa wanazotoa kila mara kwenye majukwaa, hasa kipindi hiki cha kampeni za u
Joseph Mihangwa