Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Trump:Dunia ingekuwa bora na Gaddaffi na Saddam

Donald Trump amesema kuwa dunia ingekuwa mahala bora zaidi Saddam Hussein wa Iraq na Maummar Gaddafi wangelikuwa hai.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwandani wa Saddam Hussein afariki

Taarifa kutoka wizara ya sheria nchini Iraq imetangaza kifo cha Tariq Aziz aliyekuwa mshauri wa karibu wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Saddam Hussein .

 

10 years ago

BBCSwahili

Iraq:Kaburi la Saddam limeharibiwa

Picha zinaonyesha mabaki ya kaburi hilo lililojengwa kwa njia ya kifahari lililo katika kijiji cha al-Awja .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kamba iliotumiwa kumnyonga Saddam kuuzwa

Kamba iliotumiwa kumyonga aliyekuwa rais wa Iraq marehemu Saddam Hussein imedaiwa kuuzwa kwa zaidi ya pauni millioni 4.6

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikosi bora cha Dunia

Shirikisho la soka dunia Fifa limetangaza kikosi cha wachezaji bora wa dunia .

 

10 years ago

GPL

RONALDO MWANASOKA BORA WA DUNIA 2014

Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo akiwa na tuzo ya Ballon d'Or baada ya kutangazwa na FIFA kuwa Mwanasoka Bora wa mwaka 2014. Cristiano Ronaldo (kushoto) akisalimiana na Rais wa UEFA,  Michel Platini.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha bora wa dunia ataka mabadiliko

Kocha wa ujeruman Joachim Low ambae ameteuliwa kuwa kocha bora wa mwaka 2014 ametaka mabadiliko kwenye soka.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Mchezaji bora wa dunia 2013

Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo jana usiku alinyakua tuzo ya mchezajii bora wa soka wa fifa wa mwaka 2013.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani