BONGO MUVI WAWATUMA WAZEE KWA MWAKIFWAMBA
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba akifafanua jambo kwa wanahabari wa GPL. Stori: Hamida Hassan Uongozi wa Bongo Muvi Unity umewatuma wazee akiwemo Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ kwenda kwa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba kuhakikisha wanamaliza tofauti zao ili wawe kitu kimoja. Ahmed Ollotu ‘Mzee… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8Jlkkib2dlblK1xE7sqeYspts0tsldj2yMdw2ng-D*lvzqAYdig*sW-HzD9taKpnhCse96Vbr-td3MNvngO0bHy4/mwakifambwa.jpg?width=650)
MWAKIFWAMBA AWAINGIZA CHAKA BONGO MUVI
Hamida Hassan na Gladness Mallya
WASANII wa sinema wanaounda Kundi la Bongo Muvi, wamemshutumu Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba kwamba amewaingiza chaka katika uteuzi wa mjumbe anayewawakilisha katika Bunge la Katiba lililoanza juzi mjini Dodoma. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba. Wakizungumza katika kikao cha dharura kilichoitishwa ghafla Jumatatu iliyopita kwenye viwanja vya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz61f5hs14O5VDdwkX1QLXc27ar1ra8OYnes3u307fgPE3SpQpVCY04XPGu9YsqJxz7Og2Y3fw4a9DzV8y8AAuAEy/wastara.jpg)
WASTARA: BONGO MUVI TUMECHAFUKA KWA JK
Stori: Mayasa Mariwata
Neno! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, bila kumung’unya maneno amefunguka kwamba kufuatia mfarakano ndani ya Klabu ya Bongo Movie Unity hadi kufikia hatua ya aliyekuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, kumewachafua kwa viongozi serikalini hasa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Akizungumza na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxz568tnawBVMjQjv9bDa*0qESELR71DzHenXTfbh6Nbk9TfeVAi7mEBMFcOCQzP8HZn0NkGU3zJIikm1xA4*U*2/bongo1.jpg?width=650)
BONGO MUVI WAFUNIKA KWA MAUNO
Stori: Shakoor Jongo na Emelder Tarimo MASTAA wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’, Salma Salim ‘Sandra’ na Rose Ndauka juzi walikuwa kivutio kwa wananchi waishio maeneo ya Kinondoni jijini Dar baada ya kushindana kuzungusha nyonga. Staa wa filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’. Mastaa hao walifanya tukio hilo katika sherehe za kuwasimika ukamanda wa vijana Tawi la...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jyNmmBm8AqbdES-PyD-99*Mp4zNktCD653L3Yy*rooq0ZlxeTluggbH04uQbXKe-XKkw1Sa55pNwqQCiOxE7UuP/msanii.jpg?width=650)
MSANII BONGO MUVI AFARIKI KWA AJALI
Stori: Gladness Mallya TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton’ kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu, Mwenyekiti wa Sherehe na Maafa kwa wasanii wa Wilaya ya Kinondoni, Masoud Kaftany alisema Bryton alipata ajali usiku wa kuamkia Jumapili maeneo ya Tabata - Relini wakati akirejea kwao maeneo ya Tabata -...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pXWI1kxUZH5mkSrFQF1cA9SgocouS-7g9zPjE9IwrgI5QfaH-jPsBtEDKzNt7n0ur7J-5Xtelo7nVKPgsjnRUY4sdXLXm8ma/mwakifambwa.jpg)
MWAKIFWAMBA AWABWATUKIA BONGO MOVIE
Na GLADNESS MALLYA RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba amewabwatukia wasanii wanaodai shirikisho hilo limeanguka baada ya baadhi yao kujiunga na Bongo Movie Unity. RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba.
Akizungumza kwa hisia kali na gazeti hili, Mwakifwamba alisema, TAFF ni taasisi kubwa na ipo kwa ajili ya kushughulikia mambo yenye tija kwenye...
11 years ago
GPLMWAKIFWAMBA: INGEKUWA BONGO, LUPITA ASINGENG’AA
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global. Stori: Joseph Shaluwa
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba, amesema tasnia ya sinema za Kibongo imebadilishwa na kuondolewa kwenye taaluma na kuzingatia muonekano na uzuri wa mtu akasema: “Kama msanii wa Kenya Lupita Nyong’o angekuwa Mbongo asingepewa nafasi maana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZPPPBByfAT22W5O61F41zCtmYcl23SzY34F8ewWPA8aW96LBPBXlxPhQAWpdBJkf7qMgQaa1cWKwL2Izl*SYYg/kisomo.jpg)
BONGO MUVI WACHAFUKA!
Na: Gladness Mallya na Imelda Mtema
JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho walifanya kwa manufaa yao binafsi. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ . Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa marehemu wanalalamika kuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqxMr-0sxX9bL0jwABAZzFUcPAQ0V8nUIA84wV5TdbJog1BjXbSxib7NNq0rND*D2K9kuAo1dATKx0iGLAcOjLyi/1...jpg?width=650)
BONGO MUVI KIMENUKA
Na Hamida Hassan
BONGO Muvi kimenuka! Viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenyekiti) na William Mtitu (katibu), wametofautiana kauli na kuanza kurushiana maneno mazito wakitaka kukunjana mbele ya wajumbe wa klabu hiyo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kilitonya kuwa, kilichosababisha kuibuka kwa ugomvi huo ni baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilrU4mJL4pvZkOmRRgjU24zKqg7VHJpf9CiI7Q4kketybN37pVmlFPukaHVAwXhppp1dWOPTyNrXHYh0c-Myc*RM/CATHY.jpg)
CATHY: BONGO MUVI INAKUFA
Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo kabisa kutokana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Msanii wa filamu Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akistorisha na paparazi wetu, Cathy alisema...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania