Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA: BONGO MUVI TUMECHAFUKA KWA JK

Stori: Mayasa Mariwata
Neno! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, bila kumung’unya maneno amefunguka kwamba kufuatia mfarakano ndani ya Klabu ya Bongo Movie Unity hadi kufikia hatua ya aliyekuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, kumewachafua kwa viongozi serikalini hasa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Akizungumza na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BONGO MUVI WAFUNIKA KWA MAUNO

Stori: Shakoor Jongo na Emelder Tarimo MASTAA  wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’, Salma Salim ‘Sandra’ na Rose Ndauka juzi walikuwa kivutio kwa wananchi waishio maeneo ya Kinondoni jijini Dar baada ya kushindana kuzungusha nyonga. Staa wa filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’. Mastaa hao walifanya tukio hilo katika sherehe za kuwasimika ukamanda wa vijana Tawi la...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI AFARIKI KWA AJALI

Stori: Gladness Mallya TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton’ kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu, Mwenyekiti wa Sherehe na Maafa kwa wasanii wa Wilaya ya Kinondoni, Masoud Kaftany alisema Bryton alipata ajali usiku wa kuamkia Jumapili maeneo ya Tabata - Relini wakati akirejea kwao maeneo ya Tabata -...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI WAWATUMA WAZEE KWA MWAKIFWAMBA

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba akifafanua jambo kwa wanahabari wa GPL. Stori: Hamida Hassan Uongozi wa Bongo Muvi Unity umewatuma wazee akiwemo Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ kwenda kwa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba kuhakikisha wanamaliza tofauti zao ili wawe kitu kimoja. Ahmed Ollotu ‘Mzee… ...

 

10 years ago

GPL

BONGO MUVI WACHAFUKA!

Na: Gladness Mallya na Imelda Mtema
JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho walifanya kwa manufaa yao binafsi. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ . Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa marehemu wanalalamika kuwa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KIMENUKA

Na Hamida Hassan
BONGO Muvi kimenuka! Viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenyekiti) na William Mtitu (katibu), wametofautiana kauli na kuanza kurushiana maneno mazito wakitaka kukunjana mbele ya wajumbe wa klabu hiyo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kilitonya kuwa, kilichosababisha kuibuka kwa ugomvi huo ni baada ya...

 

10 years ago

GPL

CATHY: BONGO MUVI INAKUFA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo kabisa kutokana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Msanii wa filamu Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akistorisha na paparazi wetu, Cathy alisema...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA NGONO BONGO MUVI

Na Waandishi Wetu
NDANI ya klabu ya mastaa wa sinema za Kibongo, Bongo Movie Unity (au Bongo Muvi), kumetibuka upya baada ya mwenyekiti na kiongozi mpya wa kundi hilo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kuanika makubwa na mazito juu ya uchafu, ufuska na mtandao nzima wa ‘kushea’ wapenzi miongoni mwao, aya zinazofuata zitakupa mwanga. Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ Akiwa amezungukwa na jopo...

 

10 years ago

GPL

WAMEONDOKA NA BONGO MUVI YAO!

Marehemu Steven Charles Kanumba enzi za uahi wake. Kwenye familia yangu mama alipotangulia mbele ya haki, familia ilikuwa juu mno kwa kila kitu lakini ghafla iliyumba vibaya hivyo tukapata kazi ya kuisimamisha upya, jambo ambalo limekuwa gumu kufikia pale tulipokuwa awali. Ishu hapa ni mchango wa mtu katika eneo lake. Anapoondoka ni lazima ‘gepu’ lake huonekana na kuliziba inahitaji nguvu kubwa na ya ziada. Kanumba...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KUNA MASHOGA!

IMEBAINIKA kuwa ndani ya tasnia ya filamu Bongo kuna baadhi ya wasanii wanaofanya mapenzi ya jinsia moja yaani mashoga, Risasi Mchanganyiko limenyetishwa. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Hilo limeibuka ikiwa ni siku chache baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Museven, kupitisha sheria nchini mwake ya kupiga marufuku mavazi yasiyo na staha, uvunjifu wa maadili na mapenzi ya jinsia moja.
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani