Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakilishi wa Viti Maalum Mhe. Salma Mohammed Akabidhi Misaada Hospitali ya Chake Pemba.

Mwakilishi viti maalumu wanawake CUF wilaya ya Chake Chake Mhe: Salma Mohamed Ali, akimkabidhi dawa na vifaa tiba daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake, dk Yussuf Hamad Idd vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 7.5 vilivyotolewa na mwakilishi wa Jimbo la Chake chake Mhe: Omar Ali Shehe. Daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake Yussuf Hamad Idd, akitoa neno la shukuran kwa mwakilishi wa viti maalum wanawake wilaya ya Chake Chake na mwakilishi wa Jimbo la Chake Chake, baadaya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWAKILISHI JIMBO LA CHAKE CHAKE APELEKEKA HOSPITALI DAWA NA VIFAA TIBA VILIVYOPITA MUDA WA MATUMIZI

MWAKILISHI viti maalumu wanawake CUF wilaya ya Chake Chake, Mhe. Salma Mohamed Ali (kulia) akimkabidhi dawa na vifaa tiba,   Daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake, Dk. Yussufu Hamad Idd vilivyotolewa na mwakilishi wa Jimbo la Chake chake, Mhe. Omar Ali Shehe, Mei 3 mwaka huu, kabla ya baadhi ya vifaa na dawa hizo kugunduilika kupitiwa na muda wake wa matumizi. BAADHI ya dawa na vifaa tiba zilizotolewa hivi karibuni na Mwakilishi wa Jimbo la Chake Chake, Mhe. Omar Ali Shehe ...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif afungua rasmi wa jengo la maalum la mchezo wa Judo, Gombani Chake Chake,Pemba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaki Okada, wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la Judo, Gombani Chake Chake Pemba. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk wakati wa uzinduzi huo. Rais wa heshima wa mchezo wa judo Zanzibar Bw. Shima Oka, akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo hilo Gombani...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIWETE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KWENYE HOSPITALI YA MKOMAINDO HUKO MASASI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa wauguzi katika hospitali ya Wilaya ya Masasi, Mkomaindo, mara baada ya kuwasili hospitalini hapo kwa ajili ya kuwatembelea wagonjwa tarehe 19.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimwelekeza Bibi Zauda Amuli,18, mkazi wa Mtaa wa Moroco namna ya kumnyonyesha mtoto wake mchanga aliyezaliwa tarehe 17.3.2015 katika hospitali ya Mkomaindo huko Masasi tarehe 19.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimchukua mtoto mchanga kutoka kwa mama...

 

11 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa walio wachache bunge maalum la katiba Mhe.David Kafulila ashangiliwa

 Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano, Mhe.David Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake na Deusdedit Moshi  Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake Picha na na Deusdedit Moshi  Mwakilishi wa waliowachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe...

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa rasmi ya kifo cha aliyekuwa mbunge viti maalum (CUF) Mhe. Clara Diana Mwatuka

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mhe. Clara Diana Mwatuka (Mb), aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Wananchi, (CUF) Mkoa wa Mtwara, kilichotokea jana Jumapili tarehe 9 Agosti 2015 kwa ajali ya gari katika Kijiji cha Miyuyu, Newala, Mkoani Mtwara.


Mipango ya Mazishi inaendelea kufanywa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya Marehemu, ambapo mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho siku ya Jumanne tarehe 11 Agosti, 2014 saa 9:00 Alasiri,...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA

Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Wananchi ( Cuf ) wakimsikiliza mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano uliofanyika viwanja wa Tibirizi, Chake Chake Pemba leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Cuf, Maalim Seif akihutubia mkutano wa hadhara wakati akinadi sera zake katika viwanja vya Tibirizi, Chake Chake Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AZINDUA UKUMBI WA MIKUTANO WA MAKONYO CHAKE CHAKE PEMBA

Balozi Seif akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria ufunguzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Makonyo { Makonyo Conference Cetre } wakati akiingia kwenye eneo hilo. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Bishara, Viwanda na Masoko Mh. Nassor Ahmed Mazrui, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Omar Khamis Othman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwanajuma Majid.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi ukumbi wa Mikutano uliopo Kiwanda cha Makonyo Wawi Chake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani