Mwakilishi wa walio wachache bunge maalum la katiba Mhe.David Kafulila ashangiliwa
![](http://1.bp.blogspot.com/-g2I0PufesZM/U0axrcwEmTI/AAAAAAAFZt8/wwfVFXp7Fhc/s72-c/unnamed+(16).jpg)
Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe.David Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake
na Deusdedit Moshi
Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake Picha na na Deusdedit Moshi
Mwakilishi wa waliowachache katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kAXfjm4U3Jo/U1l5ZYFZ3VI/AAAAAAAFcvE/CbrYfmAIhZs/s72-c/10294462_10154034980515247_474516434794562394_n.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s72-c/PIX-13.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya
![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s1600/PIX-13.jpg)
Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04avcgh6M0qBRLOAFdeYwgA-2plQdfbzp97TY51y056DIJgLF*VtRIBt9jTKhwGZpoMoI8-lSPmxULWSHh-P5RaHd/1509271_692807107449953_8609817621912643102_n.jpg?width=650)
MAONI YA WAJUMBE 'WALIO WACHACHE' KATIKA KAMATI NAMBA NNE ILIYOWASILISHWA NA MHE. TUNDU LISSU!
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Pb9gw7o-XUA/UyHliu-fIoI/AAAAAAAFTcU/jHC-FJgggCc/s72-c/unnamed+(14).jpg)
Mhe.Samia Suluhu Hassan ndiye makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini
Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...