Mwakyembe atimua watumishi wizara 3
WATUMISHI 13 wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wametimuliwa kazi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, kwa tuhuma za kuchafua sura ya nchi mbele ya Jumuiya ya Kimataifa, kuendekeza rushwa na kunyanyasa raia wa kigeni.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKatibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Haikuwa sahihi kumwondoa Dk Mwakyembe Wizara ya Uchukuzi
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Watumishi Wizara ya Ardhi watimuliwa kikaoni
WATUMISHI kutoka Wizara ya Ardhi na wale wa Halmashauri ya Bagamoyo wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutimuliwa katika kikao kilichoandaliwa na wakazi wa Kijiji cha Makaani Gama, Kata ya...
9 years ago
Habarileo13 Nov
Watumishi Wizara ya Habari wakumbushwa kuwajibika
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel amewakumbusha watumishi wa wizara hiyo na taasisi zake wajibu wao wa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na tija na kamwe wasitumie maeneo hayo kama vichaka vya kujificha.
9 years ago
StarTV19 Dec
Watumishi Wizara ya Afya wahimizwa kuwahi ofisini
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamis Kigwangala amesema ni marufuku kwa mtumishi wa wizara hiyo kuchelewa kazini ili kuendana na kasi ya maendeleo.
Uamuzi huo umekuja baada ya Naibu waziri huyo kuingia kazini saa 12 na robo asubuhi na kukuta Waziria, Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa rasilimali watu kuwa miongoni mwa watumishi waliowahi wakati watumishi wengine wakiwa bado hawajafika ofisini.
Zama za uwajibikaji, ndio hali halisi iliyojitokeza katika lango kuu...
5 years ago
MichuziWATUMISHI WA KADA YA WALINZI WIZARA YA ELIMU WANOLEWA
9 years ago
MichuziWATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WAMUAGA RAIS KIKWETE
Rais Kikwete akifunua kitambaa ambapo nyuma yake kuna picha ya Jengo la Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje linalokusudiwa kuanza kujengwa hivi karibuni. Rais Kikwete alifunua kitambaa hicho kuashiria kuanza ujenzi wa jengo hilo.Mhasibu Mkuu wa Wizara, Bw. Paul Kabale akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
5 years ago
MichuziWATUMISHI WA WIZARA YA HABARI WAPEWA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA COVID-19
Bw.Yusuph Seif Afisa Afya wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akitoa mafunzo kuhusu namna ya kujikinga na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kwa watumishi wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambayo yamefanyika leo Mtumba Jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakisikiliza mafunzo kuhusu namna ya kujikinga na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya...