Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMISHI WA KADA YA WALINZI WIZARA YA ELIMU WANOLEWA

 Kaimu Katibu mkuu wa Wizara  ya Elimu , Sayansi  na Teknolojia , Profesa James Mdoe akifafanua jambo wakati  wa ufunguzi wa mafunzo ya ulinzi na usalama katika utumishi wa umma kwa watumishi wa kada ya walinzi yanayofanyika kwa muda wa siku 10 kunzia Juni 15, mwaka huu (2020)  katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Savoy -Manispaa ya Morogoro na ( wa kwanza kushoto) ni Mratibu wa Mafunzo  na Mkufunzi mkuu kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA),Dk Hassanal  Issaya (kwanza kulia) ni Makamu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Prof. Mchome awataka Watumishi wa Wizara ya Elimu kuwa Wabunifu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kuwa wabunifu zaidi na kuhakikisha kuwa wanachokibuni kiwe kinatekelezwa na kuchukua hatua kwa wasiotekeleza maelekezo ya kisera pamoja na kuwazawadia wanaotekeleza kwa ufanisi maelekezo yanayotolewa.
“Watumishi wa Wizara hii tunatakiwa tujiulize tunafanya ubunifu gani ili kuhakisha wahitimu katika ngazi mbalimbali wanapata maarifa yanayotakiwa na wanaoweza kusaidia nchi...

 

11 years ago

Habarileo

Watumishi wa mahakama wanolewa mfumo wa kompyuta

WATUMISHI wa Idara za Mahakama wakiwemo Mahakimu na Makarani wa Wilaya za Bukombe na Kahama juzi wamepata mafunzo kutoka mfumo wa karatasi kwenda katika mfumo kwa Kompyuta (JSBS) kwa lengo la kukuza ufanisi katika maeneo yao ya kazi waliopo.

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAPEWA ELIMU YA UELEWA JUU YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.
 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu...

 

9 years ago

Global Publishers

Watumishi wa kada za afya watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili

IMG-20160105-WA0026Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).IMG-20160105-WA0030

IMG-20160105-WA0029Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.IMG-20160105-WA0031Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy...

 

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam



 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watumishi wa kada za afya nchini watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili na viapo vya taaluma zao

IMG-20160105-WA0026

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.

IMG-20160105-WA0030

Wauguzi wa wodi ya akinamama katika hospitali teule ya mkoa wa Geita.

IMG-20160105-WA0029

Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.

IMG-20160105-WA0031

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,...

 

11 years ago

Habarileo

Mwakyembe atimua watumishi wizara 3

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeWATUMISHI 13 wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wametimuliwa kazi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, kwa tuhuma za kuchafua sura ya nchi mbele ya Jumuiya ya Kimataifa, kuendekeza rushwa na kunyanyasa raia wa kigeni.

 

9 years ago

Habarileo

Watumishi Wizara ya Habari wakumbushwa kuwajibika

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel amewakumbusha watumishi wa wizara hiyo na taasisi zake wajibu wao wa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na tija na kamwe wasitumie maeneo hayo kama vichaka vya kujificha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumishi Wizara ya Ardhi watimuliwa kikaoni

WATUMISHI kutoka Wizara ya Ardhi na wale wa Halmashauri ya Bagamoyo wamejikuta katika  wakati mgumu baada ya kutimuliwa katika kikao kilichoandaliwa na wakazi wa Kijiji cha Makaani Gama, Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani