Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watumishi wa mahakama wanolewa mfumo wa kompyuta

WATUMISHI wa Idara za Mahakama wakiwemo Mahakimu na Makarani wa Wilaya za Bukombe na Kahama juzi wamepata mafunzo kutoka mfumo wa karatasi kwenda katika mfumo kwa Kompyuta (JSBS) kwa lengo la kukuza ufanisi katika maeneo yao ya kazi waliopo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKARANI 90 WA MAHAKAMA MBALIMBALI NCHINI KUPEWA MAFUNZO YA KUJIFUNZA MFUMO MPYA WA TEKNOLOJIA WA KUDHIBITI MASHAURI MAHAKAMANI KWA NJIA YA KOMPYUTA

    Mhe. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, akifungua mafunzo hayo rasmi jana, katika maneno yake ya ufunguzi Kattanga amewaasa Makarani kutokufanya kazi kwa mazoea bali kufanya kulingana na misingi ya maadili ya Mahakama iliyopo lengo likiwa ni kubadili taswira ya Mahakama kwa wananchi, (kushoto) ni Msajili wa Mahakama ya Ardhi, Mhe. Lameck Mlacha, kulia ni Naibu Mkurugenzi Mafunzo, Bi. Rehema Vyas.

 Mmoja wa Makarani kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...

 

5 years ago

Michuzi

MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA AWATAKA MAWAKILI NA WATUMISHI KUWA MSTARI WA MBELE KUTUMIA MFUMO WA TEHAMA




Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe.Wilbert Chuma akizungumzia kuhusu matumizi ya mfumo wa kusajili mashauri kwa njia mtandao.

***************************

Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- Mahakama

Watumishi wa Mahakama ya Tanzania na Mawakili wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kupunguza msongamano wa watu mahakamani, kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona na kuokoa gharama za utoaji haki.

Akizungumza leo ofisini...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA KADA YA WALINZI WIZARA YA ELIMU WANOLEWA

 Kaimu Katibu mkuu wa Wizara  ya Elimu , Sayansi  na Teknolojia , Profesa James Mdoe akifafanua jambo wakati  wa ufunguzi wa mafunzo ya ulinzi na usalama katika utumishi wa umma kwa watumishi wa kada ya walinzi yanayofanyika kwa muda wa siku 10 kunzia Juni 15, mwaka huu (2020)  katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Savoy -Manispaa ya Morogoro na ( wa kwanza kushoto) ni Mratibu wa Mafunzo  na Mkufunzi mkuu kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA),Dk Hassanal  Issaya (kwanza kulia) ni Makamu...

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) Yatoa Msaada wa Kompyuta Arusha

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) leo imetoa msaada wa Kompyuta 22, Monitor 154 na Printers 66 kwa mashule, vyuo, vituo vya afya, mashirika yasiyo ya serikali na taasisi zakidini na kijamii pamoja na idara za serikali katika jitihada zake za kusaidia jumuiya ya Kitanzania ambayo imeweza kuilea mahakama hiyo nchini kwa miaka karibu 20 sasa. 
Ofisi ya ya Mkuu wa Mkoa yenyewe iliongezewa gari moja la deraya na ulinzi. Makabidhiano hayo yalifanya mjini Arusha...

 

5 years ago

Michuzi

MSAJILI MKUU AWATAKA MAWAKILI, WATUMISHI KUUISHI MFUMO WA TEHAMA

Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- MahakamaWATUMISHI wa Mahakama ya Tanzania na Mawakili wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kupunguza msongamano wa watu mahakamani, kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona na kuokoa gharama za utoaji haki.
Akizungumza leo ofisini kwake, Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe.Wilbert Chuma alisema matumizi ya TEHAMA kwa watumishi na Mawakili yawe ni sehemu ya utendaji kazi wao wa kila siku...

 

10 years ago

Habarileo

Watumishi wa mahakama watakiwa kuzingatia haki

MAHAKIMU na watumishi wa Mahakama katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara wamehimizwa kuzingatia maadili na weledi katika kazi ili kurejesha imani kwa wananchi kuwa mahakama ipo pale kutafasiri sheria na kutoa haki kwa watu wote.

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Mkuu awaasa watumishi mahakama

Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman ChandeJAJI Mkuu wa Tanzania, Othman Chande amewataka watumishi wa mahakama nchini kuwa waadilifu wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Tume yasisitiza nidhamu kwa watumishi wa Mahakama

Tume ya Watumishi wa Mahakama, imewataka watumishi wake kusimamia nidhamu na uwajibikaji wenye tija, kwani kwa kufanya hivyo kutapunguza malalamiko kutoka kwa wananchi.

 

5 years ago

CCM Blog

MSAJILI MKUU AWATAKA MAWAKILINA WATUMISHI KUJIKITA ZAIDI KWENYE MFUMO WA TEHAMA


Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Wilbert Chuma akizungumzia kuhusu matumizi ya mfumo wa kusajili mashauri kwa njia mtandao.
///Na Magreth  Kinabo na Innocent Kansha-  Mahakama
Watumishi wa Mahakama ya Tanzania na Mawakili wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kupunguza msongamano wa watu mahakamani, kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona na kuokoa gharama za  utoaji haki.
Akizungumza leo ofisini kwake, Msajili Mkuu wa Mahakama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani